Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 623
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpwayungu Village hakawii kukuita Mwalimu kwa hiko kipato chako!
Sema mke wako kavuka mipaka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF kila mtu humu ni tajiri. Yaani mahitaji yote ya msingi yamo ndani mfano unga, mafuta, sabuni, mchele, maharage, mkaa,luku, nk. Halafu elfu 30 kwa wiki haitoshi???
Operation kataa ndoa acha iendelee tu hakuna namna. Kwa coments hizi nakushauri achana tu na huyo mke wakokumbe hakuna la maana unalolifanya kwake.
nakushauri umfukuze haraka sana, akigoma kuondoka muachie gheto ukaanzishe maisha mengineHabari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Mkuu wewe unaachaga sh ngapi, ilihali kila kitu kipo ndani,? Tujifunze kwakoKweli maisha magumu,yaani 30,000/- una achia mke na kusafiri wiki nzima aisee hatari sana!
Aisee kiukweli kabisa HUNA MKE HAPOHabari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Umemuelewa lakini hojaHela ndogo hiyo miharage watakula kila siku eeh?siku saba dagaa anunue kiasi gani na aziunge ili zilike vizur na nyama hajanunua.acha ubahiri ukiona mkeo kakuchoka na ukute sokoni unaenda mwenyewe unajiona mwamba kununua mivyakula hiyo..mpe pesa mkeo apambane mwenyewe na bajeti zipo za bei ndogo ila unabadilisha mlo...mindondo kila siku sio mchezo we jamaa
Sahih ,yaani una kila kitu ndani alfu elf 30 inatoshaaInategemeana, kama mahitaji yapo kama Mchele, unga n.k 30000, ni kubwa tu mbona, tatzo wanawake wengine wanacheza kikoba kwa hela matumizi
Bro..ukiona hivyo ujue kuna mtu anaonekana ni bora kuliko wewe..shtukaHabari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Mijitu ya hovyo sanaWengi katika watu tukipata huwa twawa wanafiki na kujifanya tumeyasahu misha ya watanzania waliyo wengi kwelikweli
Naam, kweli kwa usawa ya maisha ya sasa ni pesa chache sana, lakini ndio aliyokuwepo nayo mume, na mke apaswa atambue kipato cha mumewe
Sasa ukiitisha iko kikubwa ambacho mumeo hana, akaibe??
Mbaya ni mume kukaa nyumbani kunyoosha miguu asitoke kwenda kutafuta, au anaafuta ila anatumia kwa njia zisizofaa au analeta ubahiri, ila hii ya kupata kisichotoshea haifai kumfarikisha kwahiyo atoe wapi??? Kama huwezi achika kaolewe pahala zipo(kama ndio solution uionayo)
Mshahara wenyewe sijui profit kasema ni kipato cha laki tano pengine ukute nyumbani kwao yeye ndio basa aya wategemea nini hapo???
Labda kuwe na makandokando mengine ila kama sivyo huyo mke mwenyewe adabu hana hadi akuombea kifo duuh, kazi kwelikweli
Wana jf baadhi comments zao huwa utafikiri wao wana dunia yao nyingine kabisaa sio dunia hii ya Mimi na wewe
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app