Hiyo hiyo mkuuHiyo hela mbona inatosha? Mchele, maharagwe na unga vipo ndani.
Wewe huwa unaacha shilingi ngapi?
Nadhani ni mchagga!Dah! Mwanamke mwenzangu alikua na hoja ila hana kauli nzuri
Kwa mshahara wa laki tano unataka nitoe kiasi gani? Au niibe ? Na sio mara ya kwanza .Mtu lazima atoe alichonacho kinachotakiwa na kupanga budgetDah mkuu pole kwa kupewa maneno ya chobo!!! ila yote ww ni msababichaji. Mwanaume unakua baghili unajikadiria ujazo wa tumbo lako kisha unagawanya nusu ya matumbo yaliopo..
Mke wako amekupa maneno ya karaha ila yy sio wakulaumiwa. Kosa unalo. kwa kua huna uwazi ktk matumizi ya kipato chako. Mfume dume unakuponza. Nilazima akutuhumu kua pexa unazo ila unafanya kusudi kubana matumizi.
Hujachelewa jirekebishe ili uanze mwaka vizuri...
Wewe ni mpumbavu babaako wakati anamuoa mama yako alikuwa Bakheresa? Unadhani anaepata 10,000 hatakiwi kuoa?Bro huna [emoji383] mapenzi ya nini na ninataka akatombwe njee kabisa na wanaume wenye hela zao kwann hujujipanga Sana au ulidhani wanawake wa sasaivi ni wale wa tuchume wote Hooo umeyakoroga yanywe
IWE fundisho kwa vijana uoeni mmkiwa na [emoji383] lasivyo subiria dharau,masimango,kutombewa
KomAAAAAA
Naona unatetea uzi wako 😅![]()
Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...www.jamiiforums.com
Mkuu,mtu wa aina hiyo hawezi kubadilika,kufikia kumuombea kifo Baba wa mwanae ni ukatili wa hali ya juu sana,huyo sio mke bali ni Adui,mleta mada asimame kama Mwanaume na asitetereke,huyo ni wakupiga chini tu,huwezi kukipulizia kinyesi perfume ili kinukie.Mtu huyatoa yaliyojaa ndani ya moyo wake...
Kaa chini naye muongee, akueleze sababu ya msingi ya kutamka alivyotamka...
Muelewe mleta mada. Kuwa kila kitu kiko ndani, Yaani mahitaji ya familia tayari yamenunuliwa, na hiyo 30,000 ameiacha kama emergence money in case umeme umekata.Maneno aliyoyatoa ni magumu na hayajengi, ila bajeti ya elfu 30/7 ni mtihani kwa maisha ya familia ya watu watatu.
Mkuu,mtu wa aina hiyo hawezi kubadilika,kufikia kumuombea kifo Baba wa mwanae ni ukatili wa hali ya juu sana,huyo sio mke bali ni Adui,mleta mada asimame kama Mwanaume na asitetereke,huyo ni wakupiga chini tu,huwezi kukipulizia kinyesi perfume ili kinukie.
Hapo atauponya mdomo tu lakini mawazo bado sanaMstue na vibao ili mdomo wake uwe na adabu
30,000.00 kwa wiki ni ndogo sana....Habari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Pesa ni ndogo. Ila mwambie mkeo ajiongeze kua goal keeper changamotoHabari za harakati za maisha wananzengo,

Hakuna kazi ngumu kama kuponya mawazo,Hapo atauponya mdomo tu lakini mawazo bado sana