Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
Huyo mkeo atakuwa na kauli mbaya toka zamani, hajaanza jana tu ghafla, tupe historia yenu ya mahusiano
Inategemeana, kama mahitaji yapo kama Mchele, unga n.k 30000, ni kubwa tu mbona, tatzo wanawake wengine wanacheza kikoba kwa hela matumizi
Kwani si kasema hapo mshahara wake laki tano tu ...au wew laki tano kwako ni pesa nyingi?Dah mkuu pole kwa kupewa maneno ya chobo!!! ila yote ww ni msababichaji. Mwanaume unakua baghili unajikadiria ujazo wa tumbo lako kisha unagawanya nusu ya matumbo yaliopo..
Mke wako amekupa maneno ya karaha ila yy sio wakulaumiwa. Kosa unalo. kwa kua huna uwazi ktk matumizi ya kipato chako. Mfume dume unakuponza. Nilazima akutuhumu kua pexa unazo ila unafanya kusudi kubana matumizi.
Hujachelewa jirekebishe ili uanze mwaka vizuri...
Thinking out loud;
Nanunua karoti 1000, hoho 1000, vitunguu maji 1000, Swaumu 1000, tangawizi 500, dagaa 2000, nazi 2 3000, nyanya 3000, mboga 5500, kabichi 1000, nyama ¹/² 5000, bamia na nyanya chungu 2000, viazi ulaya 500, ndimu 500, nauli 2000..1000 iwe reserve na usali sana kisitokee chochote ili hela itoshe kwa wiki hiyo ya kwaresma majinuni...
Ratiba ya msosi utapanga mwenyewe ila kwa ushauri..unapika mboga ya mchana na jioni kwa mara moja, ili kusave vitu. Like maybe,
J3; mchana- Ugali ndondo (nazi unatumia nusu kipande) na harage hili ni robo kilo..na mboga ya majani fungu moja...
Jioni- wali na ndondo la mchana na mboga fungu moja.
J4; mch- ugali dagaa na mboga
Jioni- wali na mboga za mchana.
J5; mch- ugali bamia na nyanya chungu na mboga.
Jio- wali wa mseto wa harage (no nazi) na mboga ya mchana ya majani.
Alh; mch- ugali na mboga ya majani
Jio- wali wa nyanya na mboga ya majani.
Iju; mch- ugali dagaa na majani
Jio- chapati harage la nazi kipande
J1- mch- wali kabichi ya nyanya
Jion- ugali nyama na ile kabichi
J2- pilau la nyama na viazi la mchana na jioni. Na kabichi
J3- hapo baby anarudi kwaiyo ni ugali ndondo na mboga na jion wali ndondo na mboga ya majani nazi kipande.
Kuna nyakat katika maisha yetu hatuli ili tuenjoy sweetness...tunakula tuishi, tusife..kwaiyo itabidi tuvumilie tu hakuna namna. Kama una maharage ndan tayari una mboga.
Ukiyachemsha yakaiva vizuri kwa kulainika, ukakatia kitunguu kimoja vimafuta na chumvi utakula ugali au wali na utakunywa maji, utalala ukimshukuru Mungu. Kuna wanaotafuta na wanakosa hayo wewe unacho.
Kuna wengne watasema "ooh ananipa kidogo af anakula na malaya zake.." sawa ni kweli lakin what does not kill you makes you stronger. Inawezekana baba zetu waliachaga budget ndogo nyumbani wakaendaga kuhonga kwa wanawake wengine lakin leo nimekua hata kama niliteseka kipind hcho, leo nina uwezo wa kuishi kwa mtu yoyote na nikala kinachopikwa hata ni mlenda wa bamia peke yake..tena kwa furaha na amani.
Kwaiyo mwanamke mwenzangu usihisi kwamba mtoto wako anateseka, ama sijui notions gani..hapana. unapoona ivyo, mwanao anakuwa shaped kuja kuwa mwanamke strong ama mwanaume strong. Let them live through the hard times...tulikula na hatukufa.
Kama uliona mwanaume mbaya, ama malaya..usingekubali kuwa nae in the first place. Mpaka umekubali kuolewa na kuzaa nae watoto..ulikubali yote..kama ni lawama jitukane mwenyewe, lakin usimdhihaki mtoto wa mwanamke mwenzio..hata wewe unae mtoto utapenda kuja kuona anatukanwa na kudhalilishwa?? Tuwe makin sana na vinywa vyetu...ukiona hasira imekuzid nakupa technique...jaza maji mdomon afu funga mdomo..afu katafute kazi kuwa busy...unaweza ukatoa maneno saiv yakaishi miaka 10 baadae..huwaga hayafutiki haraka, mwe na hasira lakin msitende......
Jamani laki tano ni hela nyingi? Kumbuka hapo ukiachana na kula kuna kodi ,ada nauli, matibabu na matumizi mengineUnamtesa mwanamke wa watu mkipigiwa wake zenu mnakimbilia kujiua 30 kwa week huo unyanyasaji af unapokea laki tano kwa mwez broh kua na huruma
Lazima uishi kulingana na kipato. Wengine wanaacha kodi ya meza kwa siku 2k, 3k, 5k, 10k, 15k, 20k, 25k, 50k, 100k, 200k na kuendelea. Nyanya ni shilingi ngapi na vitunguu? Hizo nyama au samaki watakuwa wanakula kila siku?
Wewe unaweza kuacha 20k lkn mwingine akakuambia uwe unaacha 50k kila siku.
Elfu 4,500 kwa siku ina shida gani wakati makolombwezo mengine yotw yapo ndani?30k kwa wiki mzee baba?🤔
Hoja gani ambayo anayo hapo?Dah! Mwanamke mwenzangu alikua na hoja ila hana kauli nzuri
Sio kweli mkuu. Jamaa anasema vitu basic vyote aliacha kanunua. It means hiyo 30k ni Kwa ajili ya mboga.Kwa kipato chake kinamuwezesha kukamilisha hayo mambo mkuu na ndiyo maana mkewe akaona kama anamzingua kumuachie elfu 30 kwa week maana alishampima kwamba ana uwezo zaidi ya huo.
Wanawake wanajua kukupima urefu wa kamba wa mwanamme.
Hapo ndio nashangaa. Unakuta mwanamke kama huyo ukimuacha aende anakotaka, siku sio nyingi anarudi analiaElfu 4,500 kwa siku ina shida gani wakati makolombwezo mengine yotw yapo ndani?
Umegusa penyewe. Vikoba na upatu ndio tatizoInategemeana, kama mahitaji yapo kama Mchele, unga n.k 30000, ni kubwa tu mbona, tatzo wanawake wengine wanacheza kikoba kwa hela matumizi
Humu wengine wanaongea tu kuchangamsha Kijiwe, ila 30k ni kuwa Kwa watu watatu kwa wiki moja.JF kila mtu humu ni tajiri. Yaani mahitaji yote ya msingi yamo ndani mfano unga, mafuta, sabuni, mchele, maharage, mkaa,luku, nk. Halafu elfu 30 kwa wiki haitoshi???
Operation kataa ndoa acha iendelee tu hakuna namna. Kwa coments hizi nakushauri achana tu na huyo mke wakokumbe hakuna la maana unalolifanya kwake.
Soma vizuri uzi wa jamaa mke wake alijitahidi kubana matumizi lakini kabla ya siku 2 jamaa arudi mke akampigia simu kuwa ile elfu 30 imeisha.Elfu 4,500 kwa siku ina shida gani wakati makolombwezo mengine yotw yapo ndani?
Kuna vitu vidogo vidogo, na kubadili mboga na vitafunwa vya chaiMchele, maharage, sukari, unga na mafuta vyote vipo ndani. Unataka aache shilingi ngapi? Unatakiwa uishi kulingana na kipato. Shida ya wanawake baadhi anataka hiyo hiyo hela ya matumizi anunue nguo bado vikoba.
Umenena vyema ,30000 inadhiakiwa kumbe wanodhiaki Ni mafisadi na wez was uume za watu30000 kama kila kitu kipo ndani inatosha,na inategemea pia uko mji gani,,
Wanawake wasiowahi kutafuta ndiye atadhihaki hiyo hela ila ukishaonja mambo yaliyoko kwa ground aaah wee hata ukipewa buku 5 unaipigia mgoti kushukuru ndipo unasema sasa baba hii haitoshi nk
Labda hakufurahishwa na wewe kwenda kwenu kupeleka mazaga zaga nk huyo ni mchoyo na huyo mpwa wako hamtaki humo ndani,,
Kukuombea kifo kwa kisa kama hicho hilo ni bomu kakaa
Good pointThinking out loud;
Nanunua karoti 1000, hoho 1000, vitunguu maji 1000, Swaumu 1000, tangawizi 500, dagaa 2000, nazi 2 3000, nyanya 3000, mboga 5500, kabichi 1000, nyama ¹/² 5000, bamia na nyanya chungu 2000, viazi ulaya 500, ndimu 500, nauli 2000..1000 iwe reserve na usali sana kisitokee chochote ili hela itoshe kwa wiki hiyo ya kwaresma majinuni...
Ratiba ya msosi utapanga mwenyewe ila kwa ushauri..unapika mboga ya mchana na jioni kwa mara moja, ili kusave vitu. Like maybe,
J3; mchana- Ugali ndondo (nazi unatumia nusu kipande) na harage hili ni robo kilo..na mboga ya majani fungu moja...
Jioni- wali na ndondo la mchana na mboga fungu moja.
J4; mch- ugali dagaa na mboga
Jioni- wali na mboga za mchana.
J5; mch- ugali bamia na nyanya chungu na mboga.
Jio- wali wa mseto wa harage (no nazi) na mboga ya mchana ya majani.
Alh; mch- ugali na mboga ya majani
Jio- wali wa nyanya na mboga ya majani.
Iju; mch- ugali dagaa na majani
Jio- chapati harage la nazi kipande
J1- mch- wali kabichi ya nyanya
Jion- ugali nyama na ile kabichi
J2- pilau la nyama na viazi la mchana na jioni. Na kabichi
J3- hapo baby anarudi kwaiyo ni ugali ndondo na mboga na jion wali ndondo na mboga ya majani nazi kipande.
Kuna nyakat katika maisha yetu hatuli ili tuenjoy sweetness...tunakula tuishi, tusife..kwaiyo itabidi tuvumilie tu hakuna namna. Kama una maharage ndan tayari una mboga.
Ukiyachemsha yakaiva vizuri kwa kulainika, ukakatia kitunguu kimoja vimafuta na chumvi utakula ugali au wali na utakunywa maji, utalala ukimshukuru Mungu. Kuna wanaotafuta na wanakosa hayo wewe unacho.
Kuna wengne watasema "ooh ananipa kidogo af anakula na malaya zake.." sawa ni kweli lakin what does not kill you makes you stronger. Inawezekana baba zetu waliachaga budget ndogo nyumbani wakaendaga kuhonga kwa wanawake wengine lakin leo nimekua hata kama niliteseka kipind hcho, leo nina uwezo wa kuishi kwa mtu yoyote na nikala kinachopikwa hata ni mlenda wa bamia peke yake..tena kwa furaha na amani.
Kwaiyo mwanamke mwenzangu usihisi kwamba mtoto wako anateseka, ama sijui notions gani..hapana. unapoona ivyo, mwanao anakuwa shaped kuja kuwa mwanamke strong ama mwanaume strong. Let them live through the hard times...tulikula na hatukufa.
Kama uliona mwanaume mbaya, ama malaya..usingekubali kuwa nae in the first place. Mpaka umekubali kuolewa na kuzaa nae watoto..ulikubali yote..kama ni lawama jitukane mwenyewe, lakin usimdhihaki mtoto wa mwanamke mwenzio..hata wewe unae mtoto utapenda kuja kuona anatukanwa na kudhalilishwa?? Tuwe makin sana na vinywa vyetu...ukiona hasira imekuzid nakupa technique...jaza maji mdomon afu funga mdomo..afu katafute kazi kuwa busy...unaweza ukatoa maneno saiv yakaishi miaka 10 baadae..huwaga hayafutiki haraka, mwe na hasira lakin msitende......
Kitendo Cha kutaka wee upate ajali ufe au usadie mwambie nimekuelewa Sana .mkuu unapotoka safarini njoo na mazagazaga mengineHabari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Mkuu una familia kwanza? Mtu una kazi halafu unasafiri week nzima unaacha unga,maharage na mchele kisha unasema elfu 30 inatosha as if ni wafungwa wa kula maharagae kila siku ,mkaa ,mafuta ya kupikia ya kula etc? Mkaa kopo moja Tsh 1500 , Mafuta ya Taa lita rejareja 4000 ,nyanya nne buku.Sio kweli mkuu. Jamaa anasema vitu basic vyote aliacha kanunua. It means hiyo 30k ni Kwa ajili ya mboga.
Jamaa kuwa na kipato cha 500k kwa mwezi, haimaanishi chote kitumike kwenye kula, imagine alikuwa kasafiri, pengine alitoa na nauli