Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Haitoshi labda siku Moja tu.Wewe kama mama wa familia, hebu naomba mchanganuo wa matumizi yako kwa siku yenye thamani ya 50k (kwa siku walau mbili)
Kila Moja nanusu ya nyama sh. 15,000tsh , nyanya=2000tsh ni kubwa nne, vitunguu=1000 viwili vikubwa , nyanya ya dukani =1000, Nazi =2,000 hoho mbili ni 2,000tsh ya siku, tangawizi na kitunguu saumu na maji, 3,000 hapo hadi na kachumbari.
MATUNDA
ndizi mbivu kichani =5,000 na tikiti 4,000 , maembe =5,000 na nasi kubwa ni 3,500 na machungwa ya 5,000
Total =52,000tsh hapo ukitaka kula vitu visivyoumiza tumboo
Hapo iwe nakila kitu ndani kama sivyoo ni laki Kwa siku