Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?

Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?

Mkeo anaonekana Ni mfilisi Sana afu pia Ana kauli chafu kweli kweli.
Huyo mpe muda mfupi asipojirekebisha toa talaka Mara Moja.
 
Yaani nashangaa mpaka basi maelezo yake. Mimi tunaishi wawili uongo mbaya nyama nusu inatutosha kabisa mchana na jioni. Hoho na karoti za 500, nyanya 500 unaunga mboga mchana hadi jioni inatosha.

Kiukweli mimi 5000 kwa siku inatosha kama nina gesi, mafuta mchele, sukari na unga ndani.
Siku nikiamua kujilipua kweli naweza kutumia hata 50000 au 60000 lakini sio kwa chakula cha kupika nyumbani ni kula nje tena hotelini.
Sababu hata useme utapika pilau la kuku wa kienyeji bado haifiki 50000. Kuku ni 20000 viungo vyooote vinagota 10000 hapo mpaka nyanya za kachumbari. Watu wanaishi maisha ya kuwaza tuu sio halisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajionyesha humu pengine sio kweli sidhani kama wanaishi hivyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aisee kuwa tegemezi tabu sana. Nikajua laki 3 kumbe elfu 30 yaani elfu 10 ziwe tatu. Pole yake huyo mkeo
Kwenye keyboard mna kuaga wazuri sana ukute ata chp uliovaa saivi ina tobo katikati

Anyway uyo mwanamke ni mshenzi tu ukisoma na comment humu uta waona wanawake wengine washenzi kama uyo mkeo jibu lao ni moja tu warudi kwa wazazi wao
 
Kwa Mimi hiyo Ela ingenitosha, Ila nguruka wasikosekane, tatizo mnaoa wanawake wa mjini.
 
Wanajionyesha humu pengine sio kweli sidhani kama wanaishi hivyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hakuna tena unaweza kuta hata milo 3 kwa siku inamshinda, nyuma ya keyboard watu wana maisha fake sana ukisema ufwate utaumia.
Sasa hapa mwanamke mwenzangu sema ufwate comment za wadada wa humu uone ndoige utakayoipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni hasira tu ila ujumbe umefika uache ubahili, 30k kwa wiki hata kama kuna kila kitu humo ndani lakini ana mahitaji yake binafsi ukitoa na ya kifamilia
 
Aisee kuwa tegemezi tabu sana. Nikajua laki 3 kumbe elfu 30 yaani elfu 10 ziwe tatu. Pole yake huyo mkeo
Ni kweli kua tegemezi ni tabu sana, ila pia mwanamke kua na kijiajira au kipato chake haikwepeki kua na kiburi, jeuri, majivuno na ujuaji mwingi matokeo yake ni pamoja na kua na vijihela familia haina upendo wala amani ni mitifuano na kutunishiana misuli asubuhi.., mchana na jioni.

so yeah kua tegemezi ni tabu ila kua na vijisenti hakumpi mwanamke upendo bali migogoro, hakumpi mwanamke furaha bali kutojaliwa na mwisho ni ndoa kuvunjika na "vihela vyenu" kupanga ni kuchagua
 
Inategemeana, kama mahitaji yapo kama Mchele, unga n.k 30000, ni kubwa tu mbona, tatzo wanawake wengine wanacheza kikoba kwa hela matumizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Kwanza unatakiwa kujua akili ya mwanamke haina akili, kesho ukimuuliza alicho kisema leo atakana kusema hakusema hivyo au msamehe shetani alimpitia.

Pili uje mtu huzungumza kilicho moyoni mwake, hivyo hayo aliyo sema tarajia yatatekelezeka sio muda mrefu.

Mwisho chukua tahadhari za kiume, ukiweza mshutue na makofi kidogo ili awe na tahadhari na kauli na matendo yake juu yako.

Mwisho wa yote ndugu mwanamke usimzingatie sana, angalia maisha yako na watoto wako , usimpe mwanamke moyo wako wote, mpe asimilia ndogo sana, au ikibidi usimpe kabisa.
Nakubaliana na wewe 100% hawa sio wenzetu. Siku zote mwanamke anakuwa na plan A - Z. Mpe 5% tu zingine tulia nazo, ili akianza umaaluni
 
Habari za harakati za maisha wananzengo,

Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.

Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.

Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.

Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.

Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.

Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.

Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.


Hyo kauli ingepaswa uijue kabla ya kumuweka ndani,,tatzo la sisi vijana tunampa mimba bint alaf ndio tunaanza kumchunguza.
 
Kwa mshahara wa laki tano unataka nitoe kiasi gani? Au niibe ? Na sio mara ya kwanza .Mtu lazima atoe alichonacho kinachotakiwa na kupanga budget
Hella ya kupewa haijawahi kutosha hasa Kama mke anakutegemea umununulie Hadi pad.Yafaa kuwafanya hawa wanawake nao wawe na vipato vyao wenyewe ili waweze kujisolvia issue ndogo ndogo.
 
Back
Top Bottom