Huyu mwanamke nimemtokea kakubali ila nimemwambia sina kazi wala kipato kwani nimeyumba sana kimaisha, kasema poa hamna shida

Mashati bado hujafika Tarakea inakuwa mbele kabisa mpakani na Kenya na customs pia iko kule...... Karibu sana
Basi utanipa muongozo, niliishia hapo Rombo Mashati na kule milimani. Nilipapenda sana. Kutokea hapo Hadi Tarakea masaa mangapi kwa gari private?
Najua nikiweka kamp hapo mwezi nitajua mbivu na mbichi
 
Basi utanipa muongozo, niliishia hapo Rombo Mashati na kule milimani. Nilipapenda sana. Kutokea hapo Hadi Tarakea masaa mangapi kwa gari private?
Najua nikiweka kamp hapo mwezi nitajua mbivu na mbichi
Almost dk 40 zinatosha au chini ya hapo....... Inategemea na speed afu ttzo Kona Kona kule ndo shida lkn ni karibu

Kutoka Tarakea na mashati ni buku kwa Noah ama zile hiace
 
Almost dk 40 zinatosha au chini ya hapo....... Inategemea na speed afu ttzo Kona Kona kule ndo shida lkn ni karibu

Kutoka Tarakea na mashati ni buku kwa Noah ama zile hiace
Nakuja huko, utakuwa mwenyeji kipindi natafuta shamba πŸ˜…πŸ˜…
 
Em fanya tuwasiliane bwashee undugu ni kufaana πŸ˜‚πŸ‘Š.......

Kuwekeza kule zaidi hardware aseeh, maduka ya bia bia hizi, au kitimoto biashara hizo zinatoka sana
Hardware ni biashara nzuri sana. Hapa kati kati nitakuja aiseee.. maana nilipanga hata kuja mapumziko nifanyie Rombo hapo.. hakuna mambo mengi.. nasikia Ile baridi safii kabisaa
 
Juzi yule Mghana Jessica Saforo amemake headline, baada ya kuwashauri kwamba The best time to date is ACTUALLY when you are holy holy broke..
Havina kanuni πŸ˜…πŸ˜…
Mwanadamu anabadirika.. anaweza kuwa mzuri au mmbaya au neutral.. mapenzi ni aina ya ku take risk tu.. kujitahidi ku minize maana ku avoid ngumu.. ni kama unaishi na chatu ndani au cobra
 
Hardware ni biashara nzuri sana. Hapa kati kati nitakuja aiseee.. maana nilipanga hata kuja mapumziko nifanyie Rombo hapo.. hakuna mambo mengi.. nasikia Ile baridi safii kabisaa
Ewaaah rombo Kuna barrrriiidiii lakini me nalipenda aseeh kuliko joto......

Unywe na mbege aseeh plus mdudu πŸΊπŸ‘Š
 
Hardware ni biashara nzuri sana. Hapa kati kati nitakuja aiseee.. maana nilipanga hata kuja mapumziko nifanyie Rombo hapo.. hakuna mambo mengi.. nasikia Ile baridi safii kabisaa
Bwashee PM yangu inazngua mesej hazifunguki kabisa..... Tuchek WhatsApp...... Best regards πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…