Noah Scribe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2024
- 578
- 1,436
Nitakuja hadi hapo Rombo Mashati, alafu nimepapenda sana, kule mlimani. Natafuta shamba huko, nitahami kabisa huko ๐๐Us
ikose kufika Tarakea ๐.......
wanawake wa kirombo wachapakazi, wazurii, wavumilivu...... Ukimkuta ambaye Hana mambo mengi aaaah uta enjoy