Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa Nakasirika Nikiona mwanamke anakua na Tabia za Wizi wizi.
Nenda police katoe taarifa umeibiwa simu then mtaje yy kuwa ndio unamhisiWaungwana habari!
Direct to the topic.
Kuna mtu nilimlipia deni polisi akanipa simu yake smart nishike ili nimrudishie siku alinilipa pesa niliyomlipia...
Kweli mkuu hapa mtaani kuna Tina ni msagaji hatari aiseeAlaf hao madem wanaitwaga "Tina" hamna kitu hao[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeupokea ushaur wakoMwambie husiponiletea simu mpaka muda fulani "Kwa mfano mpaka kesho saa 4" utaenda polisi kwasababu yeye ni mwizi na amekiri kosa na ushaidi unao hapo wa hizo sms
Akikaza fuvu nenda kweli polisi kamripoti huyo mshenzi kama anavosemaga taikon "Husimuonee huruma mwanamke"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana uhakika maana sms zipo manz kakirNenda police katoe taarifa umeibiwa simu then mtaje yy kuwa ndio unamhisi
Mbona simple Tu
Something is wrong with this name [emoji23]Kweli mkuu hapa mtaani kuna Tina ni msagaji hatari aisee
Yh sure it's wht it's
Uswahilini kuna mademu pasua kichwa balaa wa ovyo mixer vivurugeJamaa uliokota manzi mwizi [emoji2] pole sana.
Waliotoa umetosha mkuuUshauri wako tafadhar
Polen sana aisee. Mwanamke anakuaje mwizi ni aibu kubwa.Uswahilini kuna mademu pasua kichwa balaa wa ovyo mixer vivuruge
Nenda kamkatie Rb, chukua askari au mgambo mkamate Tina na juma wake. Wakilala lockup siku moja tu akili zitamrudia. Mbona ushahidi unao man.Waungwana habari!
Direct to the topic.
Kuna mtu nilimlipia deni polisi akanipa simu yake smart nishike ili nimrudishie siku alinilipa pesa niliyomlipia.
Sasa hapa mtaani kuna dem nimekuwa natembea naye, week mbili zilizopita huyu dem aliniambia ana mimba lakini akawa anasisitiza nimpe hela akaitoe basi Mimi nikaona dalili za kupigwa tu na mimba Hana.
Sasa juzi jumapili asubuhi alikuja geto tukawa na mazungumzo then akasepa, aliposepa nikawa simu ya watu siioni, ikabidi nimcheki huyu demu lakini alikataa Katakata Kwamba haujachukua na hakuiona.
Usiku huu nimetumia mbinu ya kujishusha Kwamba nipo tayari nimpe hela anirudishie simu.
Amekubali kwamba alichukua simu lakini bila Laki harudishi.
Sasa wakuu naomba Busara zenu ili nitatue changamoto hii.