Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushahidi wa tweets za truph unaonyesha kila kitu alicho kuwa akisema, mara baaada ya speech yake trh 6 January akihimiza wafuasi wake wote ktk majimbo mbalimbali kwenda Capitol hill kuzuia baraza lisimuidhinishe Baiden, na baadae kweli wafuasi wa Trumph walivamia jengo wakati huo na Makamu wake akiwa ndani, Trump hakuzuia maandamao, hivyo alitaka wajumbe walio kuwamo wauliwe!!......Kama Rais wa Marekani aliaapa kuilinda Katiba Ya Marekani halafu anafanya mambo ya ovyo kiasi hicho!! ameivunjia heshima marekani.
kwakweli sheria ifanye kazi yake maaana akiachiwa anaweza kurudia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah...