Huyu Mwanasheria wa Yanga yupo kwa Maslahi ya nani?

Mnamsingizia tuu huyo mwanasheria, Hersi alishazungumzia hivi vitu. Mchezaji ana madai halali na anaenda FIFA ili kukazia kulipwa. Hapo ni ishu ya yanga kulipa ambapo Hersi anasema lazima watalipa tuu hata kama ni kwa kuchelewa.

Nyie mlitaka mwanasheria akatae kwamba timu haidaiwi? atoe hela yake mfukoni?. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Yanga fukuzeni huyo mtu.....!

Anatolewa Jasho hata na Mzee Magoma?
Yaani Mzee Magoma yupo vizuri kwa Vifungu vya Sheria Kuliko Patiriki.!?
 
Yanga fukuzeni huyo mtu.....!

Anatolewa Jasho hata na Mzee Magoma?
Yaani Mzee Magoma yupo vizuri kwa Vifungu vya Sheria Kuliko Patiriki.!?
Yanga isimuondoe jamani. Ina maokoto mengi ya yeye kula ili maisha yasije yakawa magumu kwake akaopt kwenda kwa P.Diddy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…