Huyu mwanasiasa anapuuzwa sana

Huyu sio wa kuacha mambo yako ukamsikiliza, unamsikiliza tu unapokuwa huna cha kufanya, kama ni redio imefunguliwa kwenye daladala, au kama ni kumsoma kwenye gazeti basi hilo gazeti umelikuta ofisini kwa watu unasubiri kuhudumiwa ndio unasoma angalau muda uende.
 
Yeah ashapoteza credibility 👌
 
Daaah aloo,hii imeenda
 
Zitto alikuwa bwege bwege alipokuwa chadema, toka aondoke huko kafunguwa akili na kaelewa ni nini haswa maana ya neno "siasa".
 
Juzi alitoa onyo kwa mapinduzi yaliyofanyika NIGER 😅
 
Kama namuona zitto anavyowaonyesha dole la kati nyumbu wanaokosa usingizi kwa ajili yake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…