Huyu mwandishi yupo field? Mbona amemkosea adabu kocha Gamond kwa swali la kiudhalilishaji alilomuuliza?

Huyu mwandishi yupo field? Mbona amemkosea adabu kocha Gamond kwa swali la kiudhalilishaji alilomuuliza?

wewe itakua ndiye huyo mwandishi. unajaza uzi kwa comments zako za kujirudiarudia. pangilia maswali yako kabla ya interview.
Hakuna kibaya kilichoulizwa hapo Kila kitu kipo wazi labda kama upeo wako mdogo.
 
ajibu swali

ni swali zuri kabisa na halina changamoto,angekua ameshinda kisha akaulizwa hilo swali wala kusingekosekana jibu tena la kajida
 
Simba pts 25
Yanga pts 24
Singida pts 23
.
.

Bado game 20. Mwandishi usikute Alisomea elimu ya kulea watoto
 
Yanga kufungwa mechi mbili tayari mwandishi anamuuliza kocha kama bado Yanga wapo kwenye mbio za ubingwa.
View attachment 3146583

Kwenye round ya 10 kupoteza pointi 6 tu tayari mwandishi haioni Yanga kwenye nafasi ya kugombania ubingwa.

Hii sijawahi kuiona popote pale na imenistua.

Huyu mwandishi inawezekana lengo lake lilikuwa ni kumdhalilisha Gamond, lakini out come imekuja na majibu mengi.

Ameidhalilisha ligi ya Bongo. EPL hakuna timu ambayo haijapoteza mechi na Man U tupo nafasi ya 13 tukiwa tumepoteza mechi 4 lakini bado tumesimama kwenye ambitions zetu zilezile

Kiukweli kabisa nashindwa kujua hawa waandishi wa habari za michezo ni kigezo kipi haswa kinachowafanya wapewe dhamana ya kwenda kuiwakilisha media kwenye events kubwa za kimichezo kama hizi?

Unaweza kutia shaka hata tu taaluma zao mpaka hatua ya mwisho ya kufikia kuajiriwa.

Huwenda ni kutokana na mfumo mbovu tulioutengeneza wenyewe ndio unaotuletea haya madhara tunayoyaona leo

Nazungumzia yale mambo ya kupeana kazi kwa kujuana yanayotokana na connection ndio yaliyowapa access vilaza wakajikuta wameajiriwa.

Kama ni ishu za mpira hivi inashindika kweli kwa media ku hire watu ambao wamecheza mpira na wameusomea mpira ili wakiwa field
AZIZ ki awekwe benchi, kiwango chake kimeshushwa na MABETO.
Nabi alimuweka Aziz bench, akatumiwa Mudadhir na Feisal, sasa anajilazimisha.
Wanayanga mnaweza kumuonya MABETO otherwise jiandaeni kushika nafasi ya nne.
 
Mashimo yametia moshi nguchiro wanajitokeza nje!
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-2104962820.jpeg
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC. View attachment 3146810View attachment 3146810
 

Attachments

  • IMG-20241108-WA0000.jpg
    IMG-20241108-WA0000.jpg
    142.6 KB · Views: 2
  • 20241107_210359.jpg
    20241107_210359.jpg
    93.4 KB · Views: 2
Kuna kitu kinanifurahisha sanaa,yani Makolo wao washajiona ni mabingwaa naona wamempumzisha Mangungu kipindi hiki...
 
Mwandishi anajua maswali ya kuulizia ulitaka aulize swali Gani wakati wana yanga wanataka msimano wa kocha kama anataka ubingwa au hautaki. Scars wakati mwingine muwe mnaheshimu taaluma za watu. Kazi ya mwandishi ni kucover maswali ya watu na kwa mwenendo wa Yanga watu wengi wameanza kusema kocha ameshindwa aondoke, mwandishi anataka kumpa nafasi Gamond ya kuwaambia waajiri wake wanachama mipango yake lakini kwa bahati mbaya Gamond anaishia kutukana na anakosa fursa muhimu ya kuweka mipango na kuwatuliza mashabiki.
Kuzidiwa point moja tena katika round ya 10, kweli uanze kuitoa Yanga kwenye mbio za ubingwa?
 
Simba pts 25
Yanga pts 24
Singida pts 23
.
.

Bado game 20. Mwandishi usikute Alisomea elimu ya kulea watoto
Si kwamba mwandishi hakujua, ila alihitaji kujua reaction za Gamondi kuhusiana na mbio hizi. Ikumbukwe juzi tu Gamondi aliitolea shombo Singida BS baada ya kuishinda
 
AZIZ ki awekwe benchi, kiwango chake kimeshushwa na MABETO.
Nabi alimuweka Aziz bench, akatumiwa Mudadhir na Feisal, sasa anajilazimisha.
Wanayanga mnaweza kumuonya MABETO otherwise jiandaeni kushika nafasi ya nne.
Kuna shabiki yake humu ndani humuambii kitu akakuelewa kuhusu Azizi Ki

ukikaidi utapigwa2
 
Back
Top Bottom