Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
It's an All opinion Thread..We ndgu una lako jambo ama lah unamuonea wivu jamaa kwenda US na kujitapa.
Sijaona kibaya alichofanya huyo mtu, yeye kufurahia kupiga picha na polisi wa Marekani nayo ni nongwa, ninyi watu namna gani..
Yess.. kabisaa..We ndgu una lako jambo ama lah unamuonea wivu jamaa kwenda US na kujitapa.
Sijaona kibaya alichofanya huyo mtu, yeye kufurahia kupiga picha na polisi wa Marekani nayo ni nongwa, ninyi watu namna gani..
Jipange na wewe uende sasa, kumsema vibaya hapa hakuathiri safari yake ila kunakuumiza na kufifisha jitihada zako za walau kufika malawi.Yess.. kabisaa..
Nina wivu kweli..
Yani thats it wala sivungi
LAPD ni Los Angels Police Department. New York City ni NYPD.What do you mean!?
Hunaga comment ndefu Mzee wangu😂
Mbona kashamjibu tayariNo..never;
KamjibuKafanyeje!?
Kwa werevu tumeshajua kwamba lengo lako ni kumtengenezea attention ili watu wamfuatilie, hivyo mdivyo mnavyo tengeneza attention mnajifanya kuponda kumbe mnatafuta viewersView attachment 3087076
Kuna haja
That Urgent need to have his videos banned in the country.
Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu.
Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
Kama watoto wako wanakuwa influenced na Mwijaku basi tatizo ni wewe na sio Mwijaku.View attachment 3087076
Kuna haja
That Urgent need to have his videos banned in the country.
Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu.
Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.