Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfahamu vipi mkuu?Namfahamu huyu kazingua sana
Hata mimi nimecheka sana aiseeView attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Huyu mzee noma sana. Nadhani ilikuwa mbinu yake ya kuhamasisha industrialization ili kuendana na kasi ya Magufuli. Halafu pia duh, amekuwa maarufu ghafla, yaani ameona haiwezekani afe kizembe bila kufahamika na watu wengi:
Mzee Nouma aisee! Yeye alikua anasema itapendeza mill 800, au tufanye million 900View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Hahahhahahaha yaani si kwa kumpamba kule...sawa basi nguo hazionyeshi bilionea... jamani hata afya na ngozi????watz ni wasechu sana yan walivokua wanampepea dah walishndwa hata kujiongeza [emoji23] [emoji23] [emoji23]