Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
IMG-20171109-WA0048.jpeg
huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
 
Kwa taarfa zilizopo chini ya kapeti,tajiri yule anasemakana Ana undgu wa karbu na msanii hamorapa.

Yule mama wa yono na wafanyakazi wake walikua wanajua Leo ten percent yao ya bil 1.9 inaingia

Nadhani ya moyoni waliokua nayo juu ya siku ya Leo wanajua wao.
10/100 * 1.9 bl= 190 ml less 18 perc tax..
 
Huyu mzee noma sana. Nadhani ilikuwa mbinu yake ya kuhamasisha industrialization ili kuendana na kasi ya Magufuli. Halafu pia duh, amekuwa maarufu ghafla, yaani ameona haiwezekani afe kizembe bila kufahamika na watu wengi:

 
Hahahahaahha ahh leo dokta leo kanichekesha... hapo katumwa kuharibu mnada... maana tangazo pale mwanzo kalisikia na bado babu kakomaa.. nasikia wameenda nae mpk bank ndo akasema hela itaingia kesho... naona saa hizi ananyea kidebe pale salenda....
 
Back
Top Bottom