Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana mapengo kwa juu. Angalia video vema.Mzee ngozi imepauka hatari
Acha basi[emoji23][emoji23]alivyo serious sasa aiseView attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Hata mim amenifurahisha sanaa huyu mzee naona alitaka kuzitoa gundu zili nyumba baada ya kukosa wanunuzi.View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
nimeshangaa sana humu mwanzo watu wanasema wenye hela wako hovyo hovyoHahahhahahaha yaani si kwa kumpamba kule...sawa basi nguo hazionyeshi bilionea... jamani hata afya na ngozi????
Hahahahhaha teena alikua kaenda kumalizia kununua na ile ya upanga ya bil 1.2 ...hapana aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimeshangaa sana humu mwanzo watu wanasema wenye hela wako hovyo hovyo
mtu awe na bil 2 imekaa tu benk bila kaz aisee tena vyuma vilivyokaza hata akiwa hovyo vipi atajulikana tu usoni
mzee kavaa makubanz ya mwenge buku 3 ndo angekua na bil 2 dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mm waliponiua ni hao wanaompepea dah nahisi walishaanza kumuomba na namba ya sim...maana wadada walijiongeza sana mzee hadi anafutwa jash[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahahhaha teena alikua kaenda kumalizia kununua na ile ya upanga ya bil 1.2 ...hapana aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]