Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Kwa kweli hata mimi nimecheka sana
Kwa mwenye Bunddle ya kutosha anaweza kumwangalia hapa alivyo serious kwenye manunuzi, atakuwa sio mzima huyu jamaa

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hahahhahahaha yaani si kwa kumpamba kule...sawa basi nguo hazionyeshi bilionea... jamani hata afya na ngozi????
nimeshangaa sana humu mwanzo watu wanasema wenye hela wako hovyo hovyo
mtu awe na bil 2 imekaa tu benk bila kaz aisee tena vyuma vilivyokaza hata akiwa hovyo vipi atajulikana tu usoni
mzee kavaa makubanz ya mwenge buku 3 ndo angekua na bil 2 dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahhaha teena alikua kaenda kumalizia kununua na ile ya upanga ya bil 1.2 ...hapana aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahhaha teena alikua kaenda kumalizia kununua na ile ya upanga ya bil 1.2 ...hapana aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mm waliponiua ni hao wanaompepea dah nahisi walishaanza kumuomba na namba ya sim...maana wadada walijiongeza sana mzee hadi anafutwa jash[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Sina la kusema kuhusu huyu Dkt.wa Lugumi,

Kiboko ya madalali lakini asijichanganye kwenda kwenye mnada wa majengo yaliyopo karibu na soko la samaki Felly pindi mzee atakapotaka kupiga mnada baada ya kuwa amehamia Dom.
 
Back
Top Bottom