Huyu mzee ni Mtanzania? Mbona huwa anatrend sana?

Huyu mzee alisafirisha kijana uingereza kwa ahadi ya kumtafutia kazi..

Kumbe alipelekwa kule akavunwe firigisi yake ili awekewe mtoto wa huyo mzee tajiri..
Jamaa alivyokuwa haelewi elewi wale madokta ndo wakaona isiwe kesi wakambumburua jamaa kwamba akimbie asigeuke nyuma
 
Hivi binadamu tuna firigisi? Nahisi umechanganya mambo!
 
Anafa kuwa jenerali wa movie za kutisha 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…