BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Nimepita hapa mtaani kuna watoto wanaimba "danganya toto jinga masikio kama popo, sukuma gari twendeee"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna protocal za maarifa aya... ayapo hivyo... kama ukitak tukutane live mimi na weweLeta hata maji ya kunywa kwa njia hizo2 mkuu. Nataka nione maujuzi.
SawaNimepita hapa mtaana kuna watoto wanaimba "danganya toto jinga masikio kama popo, sukuma gari twendeee"
Haya banaKuna protocal za maarifa aya... ayapo hivyo... kama ukitak tukutane live mimi na wewe
Upo Dar?Haya bana
Yeah am goodHapo ulipo inatakiwa ufungwe kamba mkuu, kwani haupati maumivu ya kichwa, na unajiona upo sawa kichwani...[emoji851]
Nipo dodomaUpo Dar?
Leejay49 shost kwani litumbutwe si ako na username nyingiiiiii ikiwemo……………..🤐🤐🤐🤐nieleweshe na mimi basi bestie 😊, maana nimetoka kapa yani amna nilichokielewa
Ooh okay...ungekua gud tungekutana spiritualy sharti tu uwe ni ke kweli na si meNipo dodoma
Leejay49 tutaona mengi🤣🤣🤣🤣🤣👋👋👋hapo sawa😂😂😂👊
Unatafuta mademu ama?Ooh okay...ungekua gud tungekutana spiritualy sharti tu uwe ni ke kweli na si me
ThanksAttention seeker
Nop. We.go protocayUnatafuta mademu ama?
Wadau habarini.kama kawaida yangu kuleta visa vyangu mbalimbali kwalengo la kujifunza na kuuaminisha umma juu ya mambo kadhawakadha
Ilikuwa ni Jumapili moja yamwzi april nilikua masaki na nilialikwa na mama mmoja Mzungu raia wa Marekani ambae alikua ni muumini mwenzangu kanisani
Sasa nafika alikua ameandaa chakula na nyama ilikuemo... baada ya kuongea kidogo alitakiwa akachukue mayonaizi jikoni kwenye refrigerator yakule...
Kuna mtoto wake dogo akawa anachukua zile nyama anakwenda kuficha kwenye chumba kingine mimi namchora tu
Yaani I think ilikua ni kama jokes kwao, amedekezwa mno... mara anachukua tena anazileta mezani...
Mama yake anasema tu wee fulani achaa ila kwa kiingereza...
Sasa yule mama akawa anapitisha juice tundu la pua OMG na kwenda tumboni... yaani ana pipe yake anaitumia kufanya hivo... na alifanya hivyo tukiwa wawili sasa...
Hio ni saa 11 hivi apo...
Nikajifanya kushtuka ila sikushtuka ataa kwa sabb hakuna kipya kwangu...
Nikajua tu ana nguvu za ziada
Nikaanza kumletea ukorofi as alinichukulia layman ...
Kwanza nikaibana ile pipe kwa macho yangu tu,akashtuka mpaka juice ikamwagika...
Hajatulia nikatazama juu ya ceiling..
Nikazikamata zile material maalum za ceiling na kuwa kama nazipenyua zitoke juu
Oooh Tutu not like that,akalalama mno
Basi kufikia apo kila mtu akawa amemjua mwenzake ni mtu waaina gani
Akawa anacheka tu,ceiling nilizikunja kunja baadae zikarudi kuwa sawa. Haya mambo utoambiwa nayeyote yule ni elimu pana mno...
Kwa kumsaprize wkati wa kuondoka nikapita ukutani kavu kavu mpaka nje...mpaka leohaamini kua ni mimi ameniganda mno awe karibu nami nimfundishe maarifa
Anapigasimu namuambia nipo home,akashangaa mno kwa sababukilikua kitendo cha dk2 tu.