Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinitusi mkuu. Am not a kidNi Mambo ya kitoto hayo uliyofanya kwa sisi wataalamu wa Mesmerisms.
Nilipokuwa chuoni nikijifundisha Mesmerism hayo ndiyo yalikuwa mafunzo ya awali kabisa.
Soma coment ya juu yakoHuo ni uongoo
SawaHaya mnaoamini Mungu njooni mtetee huu upuuzi
Usinitusi mkuu. Am not a kid
Dah haya bhna... sasa mwaga details tujifunze hapa mkuuBilashaka wewe sio kid lakini katika mesmerism niliyojifunza mambo uliyofanya yapo katika ngazi ya chini sana mithili ya mambo ya kitoto.
Yaan acha tu..basi naomba tupumzishe japo kidogo..mara uingie kwenye mwili wa mtu..mara tumbo limechoka kubebwa..hujakaa sawa unatembelea ukutani🤣🤣🤣🤣🤣👋👋👋yani hadi huu mwaka uishe tutashuhudia mengi mno 😅😅😅
Kwan mnaumini wapi? Nami niungane nanyiWadau habarini.kama kawaida yangu kuleta visa vyangu mbalimbali kwalengo la kujifunza na kuuaminisha umma juu ya mambo kadhawakadha
Ilikuwa ni Jumapili moja yamwzi april nilikua masaki na nilialikwa na mama mmoja Mzungu raia wa Marekani ambae alikua ni muumini mwenzangu kanisani
Sasa nafika alikua ameandaa chakula na nyama ilikuemo... baada ya kuongea kidogo alitakiwa akachukue mayonaizi jikoni kwenye refrigerator yakule...
Kuna mtoto wake dogo akawa anachukua zile nyama anakwenda kuficha kwenye chumba kingine mimi namchora tu
Yaani I think ilikua ni kama jokes kwao, amedekezwa mno... mara anachukua tena anazileta mezani...
Mama yake anasema tu wee fulani achaa ila kwa kiingereza...
Sasa yule mama akawa anapitisha juice tundu la pua OMG na kwenda tumboni... yaani ana pipe yake anaitumia kufanya hivo... na alifanya hivyo tukiwa wawili sasa...
Hio ni saa 11 hivi apo...
Nikajifanya kushtuka ila sikushtuka ataa kwa sabb hakuna kipya kwangu...
Nikajua tu ana nguvu za ziada
Nikaanza kumletea ukorofi as alinichukulia layman ...
Kwanza nikaibana ile pipe kwa macho yangu tu,akashtuka mpaka juice ikamwagika...
Hajatulia nikatazama juu ya ceiling..
Nikazikamata zile material maalum za ceiling na kuwa kama nazipenyua zitoke juu
Oooh Tutu not like that,akalalama mno
Basi kufikia apo kila mtu akawa amemjua mwenzake ni mtu waaina gani
Akawa anacheka tu,ceiling nilizikunja kunja baadae zikarudi kuwa sawa. Haya mambo utoambiwa nayeyote yule ni elimu pana mno...
Kwa kumsaprize wkati wa kuondoka nikapita ukutani kavu kavu mpaka nje...mpaka leohaamini kua ni mimi ameniganda mno awe karibu nami nimfundishe maarifa
Anapigasimu namuambia nipo home,akashangaa mno kwa sababukilikua kitendo cha dk2 tu.
huyu jamaa sijapata kuona kabla😂😂Yaan acha tu..basi naomba tupumzishe japo kidogo..mara uingie kwenye mwili wa mtu..mara tumbo limechoka kubebwa..hujakaa sawa unatembelea ukutani🤣🤣🤣🤣🤣👋👋👋
Yaan hijawahi tokea🤣🤣🤣🤣🤣👋👋👋huyu jamaa sijapata kuona kabla😂😂
🤣🤣🤣🤣Yaan hijawahi tokea🤣🤣🤣🤣🤣👋👋👋
Unataka kujiunga na kanisa letu? Utaweza? Ibada ni saa 6 nahuruhusiwi kuchelewa...Kwan mnaumini wapi? Nami niungane nanyi
Umelewa bangi wewe.Wadau habarini.kama kawaida yangu kuleta visa vyangu mbalimbali kwalengo la kujifunza na kuuaminisha umma juu ya mambo kadhawakadha
Ilikuwa ni Jumapili moja yamwzi april nilikua masaki na nilialikwa na mama mmoja Mzungu raia wa Marekani ambae alikua ni muumini mwenzangu kanisani
Sasa nafika alikua ameandaa chakula na nyama ilikuemo... baada ya kuongea kidogo alitakiwa akachukue mayonaizi jikoni kwenye refrigerator yakule...
Kuna mtoto wake dogo akawa anachukua zile nyama anakwenda kuficha kwenye chumba kingine mimi namchora tu
Yaani I think ilikua ni kama jokes kwao, amedekezwa mno... mara anachukua tena anazileta mezani...
Mama yake anasema tu wee fulani achaa ila kwa kiingereza...
Sasa yule mama akawa anapitisha juice tundu la pua OMG na kwenda tumboni... yaani ana pipe yake anaitumia kufanya hivo... na alifanya hivyo tukiwa wawili sasa...
Hio ni saa 11 hivi apo...
Nikajifanya kushtuka ila sikushtuka ataa kwa sabb hakuna kipya kwangu...
Nikajua tu ana nguvu za ziada
Nikaanza kumletea ukorofi as alinichukulia layman ...
Kwanza nikaibana ile pipe kwa macho yangu tu,akashtuka mpaka juice ikamwagika...
Hajatulia nikatazama juu ya ceiling..
Nikazikamata zile material maalum za ceiling na kuwa kama nazipenyua zitoke juu
Oooh Tutu not like that,akalalama mno
Basi kufikia apo kila mtu akawa amemjua mwenzake ni mtu waaina gani
Akawa anacheka tu,ceiling nilizikunja kunja baadae zikarudi kuwa sawa. Haya mambo utoambiwa nayeyote yule ni elimu pana mno...
Kwa kumsaprize wkati wa kuondoka nikapita ukutani kavu kavu mpaka nje...mpaka leohaamini kua ni mimi ameniganda mno awe karibu nami nimfundishe maarifa
Anapigasimu namuambia nipo home,akashangaa mno kwa sababukilikua kitendo cha dk2 tu.
Sitaki kufananishwa na mtu huyu.. plz, why unataka nitumie nguvu kukuambia kua namaanisha?litutumbwe a.k.a tutuberti [emoji1787][emoji1787][emoji119]
Dah haya bhna... sasa mwaga details tujifunze hapa mkuu
Sawa ahsanteUmelewa bangi wewe.
Thanks! Ila tatizo la watu wao ni kupinga pinga kila kituIt is a mental practice, hard work and determination in a physical classroom, be trained and practice over number of years to master and be acumen.