Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Litutu vs tutu ama kweli 🤣😂😂 Wewe huoni mfanano wa majina na stories?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litutu vs tutu ama kweli 🤣😂😂 Wewe huoni mfanano wa majina na stories?
[emoji23][emoji23][emoji23]twende babaView attachment 2616556
[emoji23][emoji23]we jamaa natamani sana nikutukane vibaya mno, ila acha tu nijitunzie heshima yangu....
bora hata amepigwa ban. Anaongea utumbo tu 😂[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]yaan ipo shida mahalibora hata amepigwa ban. Anaongea utumbo tu [emoji23]
ngoja akirudi muone shoo yake 😂[emoji23][emoji23]yaan ipo shida mahali
[emoji23][emoji23] hali itakuwa mbaya zaidi[emoji23]ngoja akirudi muone shoo yake [emoji23]
ila nimeona wadada wanampenda... 😂[emoji23][emoji23] hali itakuwa mbaya zaidi[emoji23]
Mhm [emoji848]ila nimeona wadada wanampenda... [emoji23]
mnapenda wanaume vituko 😂Mhm [emoji848]
Mbona nawe unapendwa kwani nawe ni kituko[emoji23]mnapenda wanaume vituko [emoji23]
napendwa na nani?? 😂Mbona nawe unapendwa kwani nawe ni kituko[emoji23]
Nitaje.......napendwa na nani?? [emoji23]
twende kazi....Nitaje.......
[emoji23][emoji23]twende kazi....
ongea basi... 😂[emoji23][emoji23]
Wanawake [emoji23]ongea basi... [emoji23]
unanipigisha soga tu hapa 😂Wanawake [emoji23]
MAMBO ya matrix haya!unatazama kijiko hadi kinajikunja KABISA chenyewe!!Wadau habarini kama kawaida yangu kuleta visa vyangu mbalimbali kwalengo la kujifunza na kuuaminisha umma juu ya mambo kadhawakadha
Ilikuwa ni Jumapili moja yamwzi april nilikua masaki na nilialikwa na mama mmoja Mzungu raia wa Marekani ambae alikua ni muumini mwenzangu kanisani
Sasa nafika alikua ameandaa chakula na nyama ilikuemo... baada ya kuongea kidogo alitakiwa akachukue mayonaizi jikoni kwenye refrigerator yakule...
Kuna mtoto wake dogo akawa anachukua zile nyama anakwenda kuficha kwenye chumba kingine mimi namchora tu
Yaani I think ilikua ni kama jokes kwao, amedekezwa mno... mara anachukua tena anazileta mezani...
Mama yake anasema tu wee fulani achaa ila kwa kiingereza...
Sasa yule mama akawa anapitisha juice tundu la pua OMG na kwenda tumboni... yaani ana pipe yake anaitumia kufanya hivo... na alifanya hivyo tukiwa wawili sasa...
Hio ni saa 11 hivi apo...
Nikajifanya kushtuka ila sikushtuka ataa kwa sabb hakuna kipya kwangu...
Nikajua tu ana nguvu za ziada
Nikaanza kumletea ukorofi as alinichukulia layman ...
Kwanza nikaibana ile pipe kwa macho yangu tu,akashtuka mpaka juice ikamwagika...
Hajatulia nikatazama juu ya ceiling.. Nikazikamata zile material maalum za ceiling na kuwa kama nazipenyua zitoke juu
Oooh Tutu not like that,akalalama mno Basi kufikia apo kila mtu akawa amemjua mwenzake ni mtu waaina gani
Akawa anacheka tu, ceiling nilizikunja kunja baadae zikarudi kuwa sawa. Haya mambo utoambiwa nayeyote yule ni elimu pana mno...
Kwa kumsaprize wkati wa kuondoka nikapita ukutani kavu kavu mpaka nje...mpaka leohaamini kua ni mimi ameniganda mno awe karibu nami nimfundishe maarifa
Anapigasimu namuambia nipo home,akashangaa mno kwa sababukilikua kitendo cha dk2 tu.