GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani.
Kwa huyu Mzungu Mserbia wenu ( ambaye GENTAMYCINE simkubali ) kwa nilivyomuona tu Pichami alivyo Mrembo ( Byuti Byuti ) najua Marafiki zangu Wachezaji Wahuni Yondani na Nyoso watashika sana nanihii yake ( watam John Boko ) huku muda mwingine wakimpiga hata Ndoo ( Vichwa ) ili kumtoa Mchezoni na Kumuogopesha.
Atajuta kuifahamu Tanzania huyu!!!!