Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!

Mchezo wa nikupe unipe, Makonda ndiyo zake hizo.
 
Inasemekana manabii wengine Eti wanatoaga hadi makafara ya damu za Watu wao wa karibu kama vile mtoto, mke, mzazi n.k
je hii yaweza kuwa kweli ?
 
Nilikwenda kule siku moja,siku moja tu.
Watu wakawa wanaitwa mbele kutoa sadaka,halafu wanarudi kukaa.
Karibu mara ishirini.
Halafu akaja huyu mdada kashika mike akasema,"Okay,imetosha mambo ya utani. Sasa tunataka watu waanze rasmi kuanza kutoa sadaka."
Nimekasirika,nimeondoka.
 
Amempa kivipi..? Ameruhusu gari zake zishiriki yale maonyesho ya makonda ya magari... uthibitisho upi unaonyesha amepewa
 
Hizi gari unakuta hakuna hata moja amenunua kwa pesa yake, unakuta mtu kaombewa na akaamini alichokuwa anakitaka na akakipata, sasa shukrani yake yeye ni kutoka zawadi ya gari

Ukiwa na wingi hutoa chochote na ukiwa na uhaba, huna chakutoa..

Kuna kanuni ya huwezi kupokea bila kutoa, hao waumini wa huyo jamaa wanaonekana wajinga lakini utakuta mtu huyo huyo anayewaona wenzake wajinga, kuna msikiti au kanisa kama hilo analoenda kutoa sadaka hiyo hiyo.
 
Kwani ulitoa ngapi kabla ya hapo ?
Sikumbuki.
Lakini nilitoa kitu kidogo.
Niliandika posting wakati nipo pale pale Kanisani.
"Nipo kwa Geordavie. Yeye mwenyewe hayupo. Ameenda kuhani kifo cha mtoto wake.
Watu hapa nadhani wamekwenda mara ishirini kutoa sadaka."
Akaniuliza mtu,Wamekwenda mara ishirini?
Nika revise maneno yangu kwa sababu nilikuwa sihesabu consciously.
Nikasema wametoa sadaka at least ten times.
 
Waumini wanatoa sadaka zinazoliwa na kiongozi wao,kisha wakisikia HAMAS wameuawa wanasema mungu wa waisrael anatenda,ilhali ni military aid from U.S
MAPUMBAVU HHAYATAISHA
Tafuteni amani, vinginevyo mtagongwa na mzayuni siku zote. Turudi kwenye topic ya land rover sasa
 
Nimimi mshambaa au ni muoldii skul,kuna range rover na land rover....hizi naona kama range rover amaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…