monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma San!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo wa nikupe unipe, Makonda ndiyo zake hizo.Wakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.
Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?
Inasemekana manabii wengine Eti wanatoaga hadi makafara ya damu za Watu wao wa karibu kama vile mtoto, mke, mzazi n.k
je hii yaweza kuwa kweli ?
Amempa kivipi..? Ameruhusu gari zake zishiriki yale maonyesho ya makonda ya magari... uthibitisho upi unaonyesha amepewaWakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.
Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?
SahihiPesa zipo kwa waumini wajinga.
Sikumbuki.Kwani ulitoa ngapi kabla ya hapo ?
Miaka ya 1980 bongo hakukuwahi kua na masofa. Labda kwa special government officials.aliwahi kua fundi sofa na dalali keko miaka ya 1980 , duniani hakuna jipya
Kamkatalie mwenyewe aliesema alikua fundi furnitureMiaka ya 1980 bongo hakukuwahi kua na masofa. Labda kwa special government officials.
BothLand rover au Range rover?
Inasemekana manabii wengine Eti wanatoaga hadi makafara ya damu za Watu wao wa karibu kama vile mtoto, mke, mzazi n.k
je hii yaweza kuwa kweli ?
YesHivi huyo Mzee si ndio baba yake na marehemu nisher?
Kuna event tu, sio mazimaKampa kwa special task au kampa like yamekua ya serikali?
Maskini na mbulula huwa wanakimbilia kuona kila tajiri kuna siri nyum ya utajiri wake.Huyu hapa nyumbu live....
Ndio baba yake.Hivi huyo Mzee si ndio baba yake na marehemu nisher?
Tafuteni amani, vinginevyo mtagongwa na mzayuni siku zote. Turudi kwenye topic ya land rover sasaWaumini wanatoa sadaka zinazoliwa na kiongozi wao,kisha wakisikia HAMAS wameuawa wanasema mungu wa waisrael anatenda,ilhali ni military aid from U.S
MAPUMBAVU HHAYATAISHA