Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sadaka zenu hizo mazombie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]P diddy wa arusha huyo,makonda akipanda ghorofani kuangakia movie amekwisha
hivi watu huwa wanaamini watumishi wanapata pesa kwa sadaka? Ni kama ufikiri mwanamuziki anapata hela kwa njia ya kuuza records.. Dunia imebadilika ... Kuna njia za hawa viongozi kupata fedha , sadaka ni least na hata haifanyi kazi.. Kwani hata wengi huwa wanatoa bukubuku na wengine huwa hawana sadaka kabisa ... Fikiri sana , namna wanavyopata pesa na kuwa na miradi lakini siyo njia ya sadaka... Mengine waumini hawahusiki kupewa hizo shitsPesa zipo kwa waumini wajinga.
Sema Geor Davie sijui anatumia kizizi gani hadi kuwapata waumini wasomi ambao huwezi dhani wanaweza kuingia mkenge wa kumwamini? Kuna Dr fulani wa hospitali ya kwa Padri Babu Ngarenaro nimeshangaa na yeye anajiita mtoto wa Nabii Mkuu. Kuhusu pesa na mali zake sio sadaka peke yake. Kuna money laundering deals na zingine kibao za kihalifu.
Mwamposa jumapili ana waumini 10,000*1000=10,000,000hivi watu huwa wanaamini watumishi wanapata pesa kwa sadaka? Ni kama ufikiri mwanamuziki anapata hela kwa njia ya kuuza records.. Dunia imebadilika ... Kuna njia za hawa viongozi kupata fedha , sadaka ni least na hata haifanyi kazi.. Kwani hata wengi huwa wanatoa bukubuku na wengine huwa hawana sadaka kabisa ... Fikiri sana , namna wanavyopata pesa na kuwa na miradi lakini siyo njia ya sadaka... Mengine waumini hawahusiki kupewa hizo shits
Na wewe kwa akili zako unadhani waumini ndio wanatoa hela hadi mtu anatajirika hivyo..kwanza kwa waumini gani aliyonao..
Jiongeze.
Zote izo zinatengenezwa na kampuni moja ya Land Rover ( range, discover,defender, na zile mandolini)Nimimi mshambaa au ni muoldii skul,kuna range rover na land rover....hizi naona kama range rover amaaa
Halafu kuna wengine , kikapu kikipita anakuwa amefunga macho, anajifanya yuko rohoni sana ..Mwamposa jumapili ana waumini 10,000*1000=10,000,000
Uko sahihi,sadaka pekee hazitoshi