Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!

Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!

Pesa zipo kwa waumini wajinga.
hivi watu huwa wanaamini watumishi wanapata pesa kwa sadaka? Ni kama ufikiri mwanamuziki anapata hela kwa njia ya kuuza records.. Dunia imebadilika ... Kuna njia za hawa viongozi kupata fedha , sadaka ni least na hata haifanyi kazi.. Kwani hata wengi huwa wanatoa bukubuku na wengine huwa hawana sadaka kabisa ... Fikiri sana , namna wanavyopata pesa na kuwa na miradi lakini siyo njia ya sadaka... Mengine waumini hawahusiki kupewa hizo shits
 
Sema Geor Davie sijui anatumia kizizi gani hadi kuwapata waumini wasomi ambao huwezi dhani wanaweza kuingia mkenge wa kumwamini? Kuna Dr fulani wa hospitali ya kwa Padri Babu Ngarenaro nimeshangaa na yeye anajiita mtoto wa Nabii Mkuu. Kuhusu pesa na mali zake sio sadaka peke yake. Kuna money laundering deals na zingine kibao za kihalifu.
 
Wengine nasikia wanatumia hadi viini macho.
Sasa ukisikia hayo makafala ya damu za wanyama na wengine hufanya zaidi kwa kutumia makafara ya damu za binadamu tena za mtu wake wa karibu kama vile mzazi, mke au mtoto ambae atakuuma sana unazani ni mchezo?!
Ndio maana tunaambiwa usitamani chochote alinachinacho mtu mwingine maana hujui amekipataje.
Wala haina haja ya kuwahusudu na kuwachukia.
Muhimu tufanye kazi kwa bidii na ubunifu tupate vya haki na halali.
Utakuta mtu ni Tajiri lakini hana raha ya nafsi.
Kitu usingizi Wengine hadi anywe madawa makali.
Sasa unazani hayo ni miasha?!
Hata wenye madaraka wengine ni hivyo hivyo.
Nyie tuishi kwa wema, tutendeane ya haki.
 
hivi watu huwa wanaamini watumishi wanapata pesa kwa sadaka? Ni kama ufikiri mwanamuziki anapata hela kwa njia ya kuuza records.. Dunia imebadilika ... Kuna njia za hawa viongozi kupata fedha , sadaka ni least na hata haifanyi kazi.. Kwani hata wengi huwa wanatoa bukubuku na wengine huwa hawana sadaka kabisa ... Fikiri sana , namna wanavyopata pesa na kuwa na miradi lakini siyo njia ya sadaka... Mengine waumini hawahusiki kupewa hizo shits
Mwamposa jumapili ana waumini 10,000*1000=10,000,000
Uko sahihi,sadaka pekee hazitoshi
 
Mkuu utawala wa CCM kuanzia 2015 mpaka wa sasa bila kujikomba kwa watawala ukiwa tajiri lazima wakufirisi. Hii haijalishi una utajiri wahalali au la.
 
Na wewe kwa akili zako unadhani waumini ndio wanatoa hela hadi mtu anatajirika hivyo..kwanza kwa waumini gani aliyonao..
Jiongeze.

Nimimi mshambaa au ni muoldii skul,kuna range rover na land rover....hizi naona kama range rover amaaa
Zote izo zinatengenezwa na kampuni moja ya Land Rover ( range, discover,defender, na zile mandolini)
 
Back
Top Bottom