Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Kwahiyo huyu na yeye alikuwa anataka kuingia Bungeni ?.
LucasNi nani uyu uko Dar es salaama?!
Ni fala la kinyakyusaNi nani uyu uko Dar es salaama?!
Bilionea wa Mchongo
Ndo mwashamba huyu?Lucas
Jamaa inasemekana ana hela balaa
Wajumbe walimdanganya kuwa angepita. Wakala ela yake. Wakamshawishi achukue fomu, akachukua. Mara ya Mwisho alipigiwa simu na Ben kumwambia, ooh Wazee wamesema mwaka huu usubiri kwanza. Basi alilia usiku mzima. Ila Kuna wanyakyusa Matapeli sana. Wakala mpaka pesa za majini.
Huyu ndoo BIG phalla
Aazime kila siku?Gari la kuazimaa 😄
Ova
Mwashambwa?Lucas