Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Jamaa hafananii pesa
Ccm yenyewe inaundwa na matapeli, inawezaje kumkata tapering sasa.Huyo mbeba fedha za Lugumi!
Ametengeneza mabango na Plate number za kuhamisha hamisha ili kutapeli watu kwamba ana pesa!
CCM inawajua matapeli ndo maana wakamkata na kumtupilia mbali!
Sishangai
Kweli? Lini ccm imeachana na utapeli!Huyo mbeba fedha za Lugumi!
Ametengeneza mabango na Plate number za kuhamisha hamisha ili kutapeli watu kwamba ana pesa!
CCM inawajua matapeli ndo maana wakamkata na kumtupilia mbali!
Pesa hana ila balaa analoJamaa inasemekana ana hela balaa