Huyu nae inasemekana alikuwa anataka ubunge , akakatwa juu kwa juu

Jamaa inasemekana ana hela balaa
 
Kwahiyo huyu na yeye alikuwa anataka kuingia Bungeni ?.



View attachment 3431137
Wajumbe walimdanganya kuwa angepita. Wakala ela yake. Wakamshawishi achukue fomu, akachukua. Mara ya Mwisho alipigiwa simu na Ben kumwambia, ooh Wazee wamesema mwaka huu usubiri kwanza. Basi alilia usiku mzima. Ila Kuna wanyakyusa Matapeli sana. Wakala mpaka pesa za majini.
 
Wajumbe n hela tu ushapita kuna mtu aliwapa 2000 , wajumbe wamechinjlia mbali kabisa yaan
 
CCM imekuwa kama Kokoro (Jarife)-- Julius Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania 1995.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…