Huyu nae inasemekana alikuwa anataka ubunge , akakatwa juu kwa juu

Huyo mbeba fedha za Lugumi!
Ametengeneza mabango na Plate number za kuhamisha hamisha ili kutapeli watu kwamba ana pesa!
CCM inawajua matapeli ndo maana wakamkata na kumtupilia mbali!
Ccm yenyewe inaundwa na matapeli, inawezaje kumkata tapering sasa.
Chukulia mfano wa vunja bei, Steve Nyerere, tarimba nk?
Nani siyo tapeli hapo ccm??
 
Huyo mbeba fedha za Lugumi!
Ametengeneza mabango na Plate number za kuhamisha hamisha ili kutapeli watu kwamba ana pesa!
CCM inawajua matapeli ndo maana wakamkata na kumtupilia mbali!
Kweli? Lini ccm imeachana na utapeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…