Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Pole mwaya!
I hope unajua kuendesha Bajaj!
Hahahahaa..niko na mapenzi mengi sana hutothubutu kunikosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mwaya!
I hope unajua kuendesha Bajaj!
Hahahahaa..niko na mapenzi mengi sana hutothubutu kunikosa.
Usijali!.
Inayofata zitatoka vidhuuuuri
Hii je?
![]()
Leseeeeeni ya kuendesha Bajaj bana!
Af ujue pia kumechicha raba na tisheti
Aftena ujue kupaka piko mashavuni
Kisha simu yako iwe na game
Bila kusahau ujue kuzungusha lips ukiwa unaongea!
Saw a?
Kuna watu hawana maji na make ups!Hii je?
![]()
Dogo alikuwa ameamua kujitoa mhanga, utaoaje makahaba yaliyokubuhu hapa mjini!
Acha upuuzi we, jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, unatumia vigezo gani kumwita mtu "anafugwa"..!? Ezden na Dida wameanza uhusiano zamani sana kabla hata hajamiliki hayo magari.
haahahahahhaha alichukua over size
Pole mwaya!
I hope unajua kuendesha Bajaj!
haa!! kwa hiyo ilikuwa inapwaya?
Leseeeeeni ya kuendesha Bajaj bana!
Af ujue pia kumechicha raba na tisheti
Aftena ujue kupaka piko mashavuni
Kisha simu yako iwe na game
Bila kusahau ujue kuzungusha lips ukiwa unaongea!
Saw a?
Mwenzaaaaangu!kwi kwi kwi ticha fursa hiyo
kwi kwi kwi ticha fursa hiyo
Dida ana "ujimama" gani kwa Ezden? mnatumia vigezo gani kumwita Ezden dogo?