Sawa dada
Ila mimi naepukaa hilo la mwisho hata asiponioa ilo ndio siitaki nizae na mtu afu aniachee
Itabdi tufanye hivyo , nikajua ww ni mtu wa vyoda[emoji14]
Huyo hana mpango na wewe, ila anachotaka ni mtoto tu kutoka kwako. Maamuzi yapo juu yako, lakini jiandae kuwa 'singo maza' baada ya kukubali ombi lake.
Unabeba ujauzito kisha unaachwa.
Nasema hatujuani unaweza kuzaa nae kumbe hayupo seriously
Babe kuachana na mtu ni kawaida sana. Unaweza hata ukafunga ndoa na baada ya muda wewe mwenyewe ukaomba talaka kutokana na mambo mbalimbali. Na hauwezi kusema usiachane na mtu kisa tu umezaa naye. Wewe jiwezeshe tu kiuchumi utaishi maisha mazuri sana with or without mwanaume.
Angalia nafsi yako, hapo baharia kapata fake option, unataka awekeze kabla hujasubmit, mimba ni submissionNyie wa ndugu ni wazima.
Tuna mahusiano ya mwaka 1, mwezi kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae
Suala la ndoa anasema on process nikiwa tayari nina kibendi sababu ni kwamba naweza kumkimbiaa [emoji23][emoji23]
Mimi kwasasa sina kazi namtegemea yeye hilo suala la kuzaa kwasasa nimelipingaa lolote linaweza kutokea huko mbeleni
Ushaurii wenu ni njia salama za kujikinga na mimba. Na kwa waliowahi kutumia na hazija waathiri
NB: Mimi sijawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango so nataka nianze kutumia now
[emoji1787][emoji1][emoji1]
Mbona kama hajiamini?Sababu anasema mimi ni kigeugeu anaona nitamkimbia and mpk Mwezi wa 10 anasema mambo yatakuwa fresh
Ki pussy chako hicho mpe akitombetombe huyo mmeweNi kinini hiko
Hizo Ndiyo Zilikuwa Hotuba Za Mzilankende Anasema Wazi WaziHapo juuu umenichekeshaa
Fanya hii njia kama walau unamtoto mmoja, kama hujazaa bado achananayo. Zinavuruga hormones vibaya mno, hasa hizo sindano uanze kuhangaika na ma clomiphene baadae. Yaani kama hujazaa walau mtoto mmoja usijaribu.Usije ukathubutu kuzaa kabla ya ndoa utajuta....weka vijiti au choma sindano....
Huoni kuwa ni kigeugeu kweli maana unamtumia na kumtegemea yeye ipasavyo na unamfanya hadi mtaji ukizipanga pesa zako za kufungua biashara yako kupitia mfuko wake ila wewe umempa mwili wako tu[emoji23][emoji23][emoji23]. Kigeugeu kwasababu haupo tayari kutumika kama yeye umtumiavyo, usijiangalie wewe tu. Ungetaka kuplay safe game, ungelimit kiasi unavyomtumia maana unamuwajibisha yeye kama mume ila hutaki akuwajibishe wewe kama mke[emoji23][emoji23][emoji23]Sababu anasema mimi ni kigeugeu anaona nitamkimbia and mpk Mwezi wa 10 anasema mambo yatakuwa fresh
Hizi kauli tuwaachie mababu zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwauchumi huu, unajifanya mimi siogopi[emoji23][emoji23][emoji23] tuache ndoto zaalinacha. Mwanaume mwenzako kawekeza hapo, umeona alifikiria hata kumchezea mchezo ili tu asibebe mimba kabla ya ndoa unaona jinsi anavyomtegemea full, unafikiri kawekeza kidogo. Mwanaume hutakiwi kutumia hisia bali akili bali uwoga ni akili pia maana hukuepusha navingi sana. Mababu zetu kipindi hicho ndio walitumia nguvu hivyo hawakutakiwa kuogopa kwakuwa kuvipata nikwanguvu na kuvipoteza ni kwanguvu ila dunia ya sasa ni ya kutumia akili zaidi, utavipata kwa urahisi nautaweza kuvipoteza kwa urahisi.Mbona kama hajiamini?
Mwanaume hapaswi kuogopa mwanamke kumkimbia, nishaelewa kwanini umempa 49%?
Mwambie navumilia mpaka mwezi wa 10 mambo yatakapokuwa freshi ndo hatua zingine zifuatwe.
Kuna njia ya Ute unaifahamu?
We muache yaani mtu mpaka hapo anamtunza akafu analeta unuajiUnachezea bahati yako utakuja kuzalishwa na mhuni na atajutia maisha yako kua singo maza.