Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Sawa dada

Ila mimi naepukaa hilo la mwisho hata asiponioa ilo ndio siitaki nizae na mtu afu aniachee

Babe kuachana na mtu ni kawaida sana. Unaweza hata ukafunga ndoa na baada ya muda wewe mwenyewe ukaomba talaka kutokana na mambo mbalimbali. Na hauwezi kusema usiachane na mtu kisa tu umezaa naye. Wewe jiwezeshe tu kiuchumi utaishi maisha mazuri sana with or without mwanaume.
 
Huyo hana mpango na wewe, ila anachotaka ni mtoto tu kutoka kwako. Maamuzi yapo juu yako, lakini jiandae kuwa 'singo maza' baada ya kukubali ombi lake.

Unabeba ujauzito kisha unaachwa.

Sawa nipe njia za uzazi wa mipango
 
Babe kuachana na mtu ni kawaida sana. Unaweza hata ukafunga ndoa na baada ya muda wewe mwenyewe ukaomba talaka kutokana na mambo mbalimbali. Na hauwezi kusema usiachane na mtu kisa tu umezaa naye. Wewe jiwezeshe tu kiuchumi utaishi maisha mazuri sana with or without mwanaume.

Sawa ngoja tuoneee
 
Nyie wa ndugu ni wazima.

Tuna mahusiano ya mwaka 1, mwezi kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae

Suala la ndoa anasema on process nikiwa tayari nina kibendi sababu ni kwamba naweza kumkimbiaa [emoji23][emoji23]

Mimi kwasasa sina kazi namtegemea yeye hilo suala la kuzaa kwasasa nimelipingaa lolote linaweza kutokea huko mbeleni

Ushaurii wenu ni njia salama za kujikinga na mimba. Na kwa waliowahi kutumia na hazija waathiri

NB: Mimi sijawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango so nataka nianze kutumia now

[emoji1787][emoji1][emoji1]
Angalia nafsi yako, hapo baharia kapata fake option, unataka awekeze kabla hujasubmit, mimba ni submission
 
Sababu anasema mimi ni kigeugeu anaona nitamkimbia and mpk Mwezi wa 10 anasema mambo yatakuwa fresh
Mbona kama hajiamini?
Mwanaume hapaswi kuogopa mwanamke kumkimbia, nishaelewa kwanini umempa 49%?
Mwambie navumilia mpaka mwezi wa 10 mambo yatakapokuwa freshi ndo hatua zingine zifuatwe.
Kuna njia ya Ute unaifahamu?
 
Akuoe kwanza ndiyo uzae kama kweli anakupenda, Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu.
 
Usije ukathubutu kuzaa kabla ya ndoa utajuta....weka vijiti au choma sindano....
Fanya hii njia kama walau unamtoto mmoja, kama hujazaa bado achananayo. Zinavuruga hormones vibaya mno, hasa hizo sindano uanze kuhangaika na ma clomiphene baadae. Yaani kama hujazaa walau mtoto mmoja usijaribu.
 
Mwambie watoto wa nje ya ndoa sio baraka kwa MUNGU. Kama anakuona mke wake mtarajiwa kwann anahofia kuhusu wewe kuwa na mtoto wake?

Na kama haamini kuwa unaweza beba ujauzito fanya kumwambia muende hospital mkafanye vipimo.
 
Sababu anasema mimi ni kigeugeu anaona nitamkimbia and mpk Mwezi wa 10 anasema mambo yatakuwa fresh
Huoni kuwa ni kigeugeu kweli maana unamtumia na kumtegemea yeye ipasavyo na unamfanya hadi mtaji ukizipanga pesa zako za kufungua biashara yako kupitia mfuko wake ila wewe umempa mwili wako tu[emoji23][emoji23][emoji23]. Kigeugeu kwasababu haupo tayari kutumika kama yeye umtumiavyo, usijiangalie wewe tu. Ungetaka kuplay safe game, ungelimit kiasi unavyomtumia maana unamuwajibisha yeye kama mume ila hutaki akuwajibishe wewe kama mke[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasoma hizi comment humu ndani naona jinsi watu msivyo na aibu wala busara. Hivi niwaulizeni ninyi mnaosema huyu dada anachezea bahati, kesho na kesho kutwa huyu jamaa akimtelekeza na mtoto akija hapa kuwapa story si mtaanza kumsema kuwa amekuwa single mother kwa kutaka?!

Hivi kimsingi hapa mnatakiwa kumshauri dada wa watu azungumze na huyu mwanaume wake watazame namna ya kumaliza maswala ya kutambulishana kwa wazazi na wazee kisha process za msingi zikishafuatwa kama mahari na vitu vinginevyo then at least wazungumze kupeana ujauzito.

Sio sawa mtu hata haujamposa halafu unatia mimba.
 
Mbona kama hajiamini?
Mwanaume hapaswi kuogopa mwanamke kumkimbia, nishaelewa kwanini umempa 49%?
Mwambie navumilia mpaka mwezi wa 10 mambo yatakapokuwa freshi ndo hatua zingine zifuatwe.
Kuna njia ya Ute unaifahamu?
Hizi kauli tuwaachie mababu zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwauchumi huu, unajifanya mimi siogopi[emoji23][emoji23][emoji23] tuache ndoto zaalinacha. Mwanaume mwenzako kawekeza hapo, umeona alifikiria hata kumchezea mchezo ili tu asibebe mimba kabla ya ndoa unaona jinsi anavyomtegemea full, unafikiri kawekeza kidogo. Mwanaume hutakiwi kutumia hisia bali akili bali uwoga ni akili pia maana hukuepusha navingi sana. Mababu zetu kipindi hicho ndio walitumia nguvu hivyo hawakutakiwa kuogopa kwakuwa kuvipata nikwanguvu na kuvipoteza ni kwanguvu ila dunia ya sasa ni ya kutumia akili zaidi, utavipata kwa urahisi nautaweza kuvipoteza kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom