Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Sawa dada
Ila mimi naepukaa hilo la mwisho hata asiponioa ilo ndio siitaki nizae na mtu afu aniachee
Babe kuachana na mtu ni kawaida sana. Unaweza hata ukafunga ndoa na baada ya muda wewe mwenyewe ukaomba talaka kutokana na mambo mbalimbali. Na hauwezi kusema usiachane na mtu kisa tu umezaa naye. Wewe jiwezeshe tu kiuchumi utaishi maisha mazuri sana with or without mwanaume.