Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Usije ukathubutu kuzaa kabla ya ndoa utajuta....weka vijiti au choma sindano....
 
Sema binadamu hatujuani kiundani mwanaume akiwa silias mwanamke anafanya mzaha
 
Amekutambulisha basi na wewe mtambulishe na uzae nae..yupo serious!

Hajanitambulisha kwa wazazi wake yaani Baba ake na mama ake it’s just shangazi na wadogo zake

Pia sioni Kama ni kigezo cha kuzaa nae
 
This is game of timing. Wewe unaogopa ukibeba mimba anweza asikuoe na yeye anahisi ukimbebea mtoto ndio utakua unampenda kweli.

Dadeq. Achana na mambo ya uzazi wa mpango, utakuja ukose kuzaa bure au ukawa na shida zingine za kiuzazi. Mtu amaweza kukuambia njia aliyoitumia yeye na akafanikiwa, ila ukiitumia wewe inaweza kukuleta madhara. Difference in biological makeup.

Sasa usipo mbebea huoni hata kuoa?
 
Mwambie na wewe unaogopa yeye anaweza kukukimbia, akufungulie biashara itakayoweza kukuingizia so chini ya 30k per day.

Anataka nikaishi nae kwake Kama simuamini


Kwenye biashara anataka nimuambie biashara gani nataka then ani boost so na mimi najichangachanga kupitia hela zake nipate ya kuanzia then ndio nimwambie
 

Mimi sitaki mtoto ili anioe nataka yeye awe tayari kuoa ndio tupate mtoto
 
Kama Ana Nia na wewe aende kwenu kwanza akajitambulishe akishajitambulisha na kukamilisha taratibu zote ndio ubebe hiyo mimba tofauti na hapo huyo mhuni tu Kama wahuni wengine hawezi kutimiza masharti usipoteze naye muda
 
Vipi ananiambia tukaishi wote vipi na hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naona kwa mbali tangazo jamii forum, "nina mkaka 39, natafuta rafiki kuelekea ndoa awe mume wangu"

Kila la heri...
 
Kama Ana Nia na wewe aende kwenu kwanza akajitambulishe akishajitambulisha na kukamilisha taratibu zote ndio ubebe hiyo mimba tofauti na hapo huyo mhuni tu Kama wahuni wengine hawezi kutimiza masharti usipoteze naye muda

Sawa….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…