Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Kwanza amesha kutambulisha ata ndugu yk mmoja? Vipi kwenu je wanamjua alishawahi kupeleka sura yake kwenye.

ukijibu hayo maswali nitakushauri.

Mimi sijamtambulisha kwetu yeye kanitambulisha
 
Sasa hapo mamy ngoja dada yako nikufundishe mbinu za kivita. Si umesema unamtegemea yeye kila kitu kwa sasa? Na hiyo ina maanisha anakuhudumia si ndiyo? Na hapo nimeona mambo ya ma abroad maana yake ana hela. Sasa wewe muombe akufungulie hata saloon au hata biashara nyingine yoyote unayohisi unaweza kuifanya. Kisha unaweza ukajiaminisha kubeba mimba.. hata asipokuoa akikimbia unakuwa na biashara itakayo ku support kwenye malezi ya mtoto.

Sawa dada

Ila mimi naepukaa hilo la mwisho hata asiponioa ilo ndio siitaki nizae na mtu afu aniachee
 
Hiyo njiaa
Hiyo apo
20230405_160207.jpg
 
Back
Top Bottom