Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Umemaliza kila kitu..Sasa ushauriwe nn?? Huyo anayekupa shariti la mimba ndio muoane .
Huoni ni muhuni tu ?? Huyo muhuni tu kama walivyo wengine.
Yaaaan ni Bora kama umeamua kuzaa tu naye basi, Sio akudanganyee kifalafala Ivo.
HANA MPANGO WA KUKUOA HUYO.