Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Sasa ushauriwe nn?? Huyo anayekupa shariti la mimba ndio muoane .

Huoni ni muhuni tu ?? Huyo muhuni tu kama walivyo wengine.

Yaaaan ni Bora kama umeamua kuzaa tu naye basi, Sio akudanganyee kifalafala Ivo.

HANA MPANGO WA KUKUOA HUYO.
Umemaliza kila kitu..
 
Mda mwngne mambo ya mahusiano kwa sasa ni bahati nasibu ,ukitumia akili sna utaweza kuharibu na ukitumia hisia sna utaaribu pia ,ila fanya maamuzi unayoona yanakupa amani.
Kuumia kuko pale pale mahusiano ya siku hizi pasua kichwa wanawaka wanao taka ndoa wanahitaji wanaume wenye pesa na uwezo, wanaume wanao hitaji ndoa seriously ni masikini hawana mbele au nyuma......
 
Kuumia kuko pale pale mahusiano ya siku hizi pasua kichwa wanawaka wanao taka ndoa wanahitaji wanaume wenye pesa na uwezo, wanaume wanao hitaji ndoa seriously ni masikini hawana mbele au nyuma......

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa kama Kakukula mwaka mzima unafikiri Kuna kitu atajutia hata asipokuoa?
Hata hilo suala la kukwambia akupige mimba kwanza ni kukutafutia sababu ya kukuacha tu
Maana Kuna wanawake hata uwatafutie kosa ili uwaache hupati kosa inafika hatua unamkosea wewe anakuomba msamaha yeye, kwahiyo kumuacha inahitaji mikakati ya kutokua na makubaliano Kama hii

Duuuh umesoma vizuri lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuumia kuko pale pale mahusiano ya siku hizi pasua kichwa wanawaka wanao taka ndoa wanahitaji wanaume wenye pesa na uwezo, wanaume wanao hitaji ndoa seriously ni masikini hawana mbele au nyuma......
Itabidi iwe hiv mwanaume maskini atafute mwanamke tajiri na mwanamke maskini atafute mwanaume tajiri ili kuleta usawa.
 
Shida sina hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama yeye anazo pesa unashindwa vip kumpa masharti akupe mtaji kwanza then utakubali ombi lake ili na wewe ujitegemee ?
 
Sasa ushauriwe nn?? Huyo anayekupa shariti la mimba ndio muoane .

Huoni ni muhuni tu ?? Huyo muhuni tu kama walivyo wengine.

Yaaaan ni Bora kama umeamua kuzaa tu naye basi, Sio akudanganyee kifalafala Ivo.

HANA MPANGO WA KUKUOA HUYO.

Nakazia
 
Kwaiyo nitajuaje Kama huyu sio muhuni??? Watu wanabadilika
Kupitia jinsi anavoishi
Je ni mtu ambaye anatimizq ahadi zake kwa wakati?(NIDHAMU)
Kama hatimizi ahadi yake kwa wakati, jiandae kuwa single mom. Tabia haibadiliki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume mna maneno mazuri kabla hamjtia mtu mimba kumbuka hapa ni suala la Mtoto sio maharage ya mbeya

Dada angu, maneno mazuri ndo ubinadam, na sio watu wote aanaingia huko kwenye kwa sababu wana uhakika, ni maturity.

Kama umri umefika, unampenda, anajali, anataka mtoto? Why not, kama sio wewe kuna mtu atampa haja ya moyo wake.
 
Back
Top Bottom