mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #141
Unampa ushauri mbaya.
Bora umeona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampa ushauri mbaya.
OK ni njia nzuri mno nitakueleza ukitafute.
Amekutambulisha basi na wewe mtambulishe na uzae nae..yupo serious!Mimi sijamtambulisha kwetu yeye kanitambulisha
Duh[emoji23]Mwambie na wewe unaogopa yeye anaweza kukukimbia, akufungulie biashara itakayoweza kukuingizia so chini ya 30k per day.
Kwa hiyo kwa sasa unampa kimasihara!Ni wa viwango sema simuamini tu
Amekutambulisha basi na wewe mtambulishe na uzae nae..yupo serious!
Usije ukathubutu kuzaa kabla ya ndoa utajuta....weka vijiti au choma sindano....
Mwambie na wewe unaogopa yeye anaweza kukukimbia, akufungulie biashara itakayoweza kukuingizia so chini ya 30k per day.
Sema binadamu hatujuani kiundani mwanaume akiwa silias mwanamke anafanya mzaha
This is game of timing. Wewe unaogopa ukibeba mimba anweza asikuoe na yeye anahisi ukimbebea mtoto ndio utakua unampenda kweli.
Dadeq. Achana na mambo ya uzazi wa mpango, utakuja ukose kuzaa bure au ukawa na shida zingine za kiuzazi. Mtu amaweza kukuambia njia aliyoitumia yeye na akafanikiwa, ila ukiitumia wewe inaweza kukuleta madhara. Difference in biological makeup.
Sasa usipo mbebea huoni hata kuoa?
Usizae kabla hujaolewa unajitia nuksi tu
Duh usikubali mimba hata 50% hajafika.49%[emoji23][emoji23]
Vipi ananiambia tukaishi wote vipi na hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama Ana Nia na wewe aende kwenu kwanza akajitambulishe akishajitambulisha na kukamilisha taratibu zote ndio ubebe hiyo mimba tofauti na hapo huyo mhuni tu Kama wahuni wengine hawezi kutimiza masharti usipoteze naye muda