mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
-
- #161
Naona kwa mbali tangazo jamii forum, "nina mkaka 39, natafuta rafiki kuelekea ndoa awe mume wangu"
Kila la heri...
Duh usikubali mimba hata 50% hajafika.
Ni muhuni kama wengine.
Nimejua kwasababu naona
Mfano nikitembea umbali mrefu au nikihama mazingir
Jaribu kuinclude vyakula hivi kwenye daily diet yakoNimejua kwasababu naona
Mfano nikitembea umbali mrefu au nikihama mazingira
Mimi nimeombwa nitie mimba tu mtoto atalea mwenyewe
Naona kama ntego
Jaribu kuinclude vyakula hivi kwenye daily diet yako
Ginger
Cinnamon
Turmeric
Kuna baadhi ya ndugu zangu waliolewa wakiwa na mimba ya miezi miwili, na wanaume waliowaoa walipigwa mahari za kutosha wakazitoa.Yes…
Japo ananishirikisha mambo yake mengi hadi ya familia yake Kama mshauri but I’m not sure if he really love me
Kuna baadhi ya ndugu zangu waliolewa wakiwa na mimba ya miezi miwili, na wanaume waliowaoa walipigwa mahari za kutosha wakazitoa.
Waliamini waume zao zaidi ya 50% pia walikuwa na dini Moja.
Kama dini yake Iko tofauti inakuwa ngumu kidogo
Ila Kwa kuwa probability Iko chini ya 50% tulia kwanza.Tupo dini moja
Nlitaka kusema ivyo ivyo mfano marekan mtu anaona sifa kuwa na baby mama 6 na wote hajawaoa ilihali anatoboka child support, yan mzee watu wa kule watu watofauti sana, isije ikawa kaja na mtego dizain hiyo, majaa mbelez hayaoi kwanza wanasema kuoa raha uiwa mzeeSasa ushauriwe nn?? Huyo anayekupa shariti la mimba ndio muoane .
Huoni ni muhuni tu ?? Huyo muhuni tu kama walivyo wengine.
Yaaaan ni Bora kama umeamua kuzaa tu naye basi, Sio akudanganyee kifalafala Ivo.
HANA MPANGO WA KUKUOA HUYO.
Oc course mkuuMimi nimeombwa nitie mimba tu mtoto atalea mwenyewe
Naona kama ntego
Ila Kwa kuwa probability Iko chini ya 50% tulia kwanza.
Ushawahi muuliza kwa kumbembeleza kwanini uzae kwanza kabla ya ndoa?
Tangawizi
Mdalasini
Manjano
Wewe ulitaka akazae na Ng'ombe??acha ubanaji huo,,,achia chuma hicho watu wafanye yao,,,,MamaMzungu unakuwa kama Mamamwafrika!!
Nasema hatujuani unaweza kuzaa nae kumbe hayupo seriouslyKwaiyo hapo ndio seriously umwambie mtu mzae