Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Yes…

Japo ananishirikisha mambo yake mengi hadi ya familia yake Kama mshauri but I’m not sure if he really love me
Kuna baadhi ya ndugu zangu waliolewa wakiwa na mimba ya miezi miwili, na wanaume waliowaoa walipigwa mahari za kutosha wakazitoa.
Waliamini waume zao zaidi ya 50% pia walikuwa na dini Moja.
Kama dini yake Iko tofauti inakuwa ngumu kidogo
 
Tupo dini moja
 
Wewe ulitaka akazae na Ng'ombe??acha ubanaji huo,,,achia chuma hicho watu wafanye yao,,,,MamaMzungu unakuwa kama Mamamwafrika!!
 
Sasa ushauriwe nn?? Huyo anayekupa shariti la mimba ndio muoane .

Huoni ni muhuni tu ?? Huyo muhuni tu kama walivyo wengine.

Yaaaan ni Bora kama umeamua kuzaa tu naye basi, Sio akudanganyee kifalafala Ivo.

HANA MPANGO WA KUKUOA HUYO.
Nlitaka kusema ivyo ivyo mfano marekan mtu anaona sifa kuwa na baby mama 6 na wote hajawaoa ilihali anatoboka child support, yan mzee watu wa kule watu watofauti sana, isije ikawa kaja na mtego dizain hiyo, majaa mbelez hayaoi kwanza wanasema kuoa raha uiwa mzee
 
Ila Kwa kuwa probability Iko chini ya 50% tulia kwanza.
Ushawahi muuliza kwa kumbembeleza kwanini uzae kwanza kabla ya ndoa?

Sababu anasema mimi ni kigeugeu anaona nitamkimbia and mpk Mwezi wa 10 anasema mambo yatakuwa fresh
 
Huyo hana mpango na wewe, ila anachotaka ni mtoto tu kutoka kwako. Maamuzi yapo juu yako, lakini jiandae kuwa 'singo maza' baada ya kukubali ombi lake.

Unabeba ujauzito kisha unaachwa.
 
Back
Top Bottom