Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Amani yangu nimehitimisha ni kukataa mimba

Sasa nataka ushaurii wa uzazi wa mpango
Nenda karibu na kituo chochote cha afya kilicho karibu yako watakupatia mkuu, ila msimamo wangu ni ule ule nataka mtoto.
 
Mimi binafisi natafuta wa ubavu njoo kwangu, mimi nakuoa kabisa utazaa ndani ya ndoa, njoo pm
 
Kuzaa si mpaka pesa au awe na hela, kama umemuelewa we zaa tu; wengine upenda mbegu tu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee sijazaa bado ila kwa hizi kesi duniani sipo tayari kwa hilo

Halafu mimi sina kazi ya kumlisha huyo Mtoto kila kitu namtegemea yeye kiufupi yeye ndio boss wangu mjini sasa unafikiri akibadilika mbeleni mimi si inakula kwangu na nyie hamuoi singo maza
 
Kwahiyo unataka kumchezea kamchezo[emoji23]......akiona hushiki si ataanza kukuhisi huzai[emoji23]
Hili bom litakulipukia.....

Hahahahaha na yeye hako kamchezo kasema nisitumie kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njia salama ni Kuvaa Condom tu aisee kutokucheza mechi zisizo na ulazima wakati Taa nyekundu inawaka😂😂😂😂😂😂
 
Njia salama ni Kuvaa Condom tu aisee kutokucheza mechi zisizo na ulazima wakati Taa nyekundu inawaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatumiii na hizo salama siziamini kabisaa zinasaliti mno
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee sijazaa bado ila kwa hizi kesi duniani sipo tayari kwa hilo

Halafu mimi sina kazi ya kumlisha huyo Mtoto kila kitu namtegemea yeye kiufupi yeye ndio boss wangu mjini sasa unafikiri akibadilika mbeleni mimi si inakula kwangu na nyie hamuoi singo maza
Njoo nikuoe uwe mke wa saba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sio kiwandaaa cha kutotoleshaaa
Wewe ni kiwanda ndio maana una mifumo yote ya uzazi kwa ajili ya kutotolesha, kwani wewe unataka mimi nifanye nini kwanza ili ukubaliane na ombi langu la kunizalia?
 
Unavyojifanya unaulizia njia za uzazi wa mpango kama ndiyo kwanza umeanza kuliwa sasa!
Tena uwe makini nyie slay queen mnao komaa na ndoa wengi mnaangukiaga pua,
Tumia hayo madawa alafu uwe kwa ndoa ukose mtoto ndiyo utajua ndoa ndoano!
 
Unachezea bahati yako utakuja kuzalishwa na mhuni na atajutia maisha yako kua singo maza.
Muhuni mwenyewe ndo uyo sasa by the way me nazan8 ndoa sio kipimo cha kuto kuachwa
 
Back
Top Bottom