Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Unavyojifanya unaulizia njia za uzazi wa mpango kama ndiyo kwanza umeanza kuliwa sasa!
Tena uwe makini nyie slay queen mnao komaa na ndoa wengi mnaangukiaga pua,
Tumia hayo madawa alafu uwe kwa ndoa ukose mtoto ndiyo utajua ndoa ndoano!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu bwanaaa

Haya nipe hayo madawa nitumie
 
Najua mengi tu mpaka sindano,
Ila Sasa kipindi unachelewa kupata mtoto na upo kwa ndoa miaka tano usikomae na mafuta ya mwamposa ujue ulichotumia!
 
Nyie wa ndugu ni wazima

Tuna mahusiano ya mwaka 1… mwezi Kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae

Suala la ndoa anasema on process nikiwa tayari nina kibendi sababu ni kwamba naweza kumkimbiaa[emoji23][emoji23]

Mimi kwasasa sina kazi namtegemea yeye hilo suala la kuzaa kwasasa nimelipingaa lolote linaweza kutokea huko mbeleni

Ushaurii wenu ni njia salama za kujikinga na mimba

Na kwa waliowahi kutumia na hazija waathiri

NB: mimi sijawah kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango so nataka nianze kutumia now

[emoji1787][emoji1][emoji1]
Wanasema kuzaa n mapenzi ya mungu asa anataka mtoto usipopata itakuwaje? , Hata kama mtafunga ndoa bila mtoto hawezi ishi na ww .kumbe maisha n vile unataka ww
 
Huyo jamaa inaoneka hataki kuoa anataka mtoto , ila kama jamaa ndo provider wa kila kitu hata ukipata mimba inaonesha hawezi kukuacha umlee mwenyewe, sasa wewe zubaa uskie jamaa kaoa aliyebeba mimba maana usidhani upo mwenyewe, kuna mtu huko ambaye atakua hata hampendi ila akishabeba mimba atamuoa wewe ukibaki kutumia njia za uzazi wa mpango
 
Unamtegemea, unampenda, kaahidi kuoa, kuzaa hutaki, ukichaa is real...

Wamuachie tu yule jamaa wa magunia mawili....
 
Unampa Mtoto Uji Analia Tu Unammenyea Yai Analia Tu
Unampa Kwenye Kikombe Anakitupa , Hapo Unamzabua Kofi Moja Uone Akavyobugia Uji Wote Haraka Haraka

Ndugu Zangu Zaeni Acheni Masuala Ya Kupanga Uzazi Hata India Na China Ziliendelea Kwa Idadi Ya Watu,

By Mzilankende
 
Sasa kama Kakukula mwaka mzima unafikiri Kuna kitu atajutia hata asipokuoa?
Hata hilo suala la kukwambia akupige mimba kwanza ni kukutafutia sababu ya kukuacha tu
Maana Kuna wanawake hata uwatafutie kosa ili uwaache hupati kosa inafika hatua unamkosea wewe anakuomba msamaha yeye, kwahiyo kumuacha inahitaji mikakati ya kutokua na makubaliano Kama hii
 
Najua mengi tu mpaka sindano,
Ila Sasa kipindi unachelewa kupata mtoto na upo kwa ndoa miaka tano usikomae na mafuta ya mwamposa ujue ulichotumia!

Kwaiyo kumbe ukitumia ndio unachelewa kupata Mtoto

Nilikuwa sijui hilo
 
Hela na huduma kutoka kwake unazihitaji na kuzipata ila mimba kutoka kwake huhitaji

Suala la kunihidumia mimi na kuhudumia Mtoto ni tofauti Mtoto anahitaji maziwa pampas kuna kuumwa tofauti na mimi mtu mzima ambae wazazi wangu wapo hai pia naweza kukabiliana na mazingira ya njaa Mtoto hawezi hilo
 
Wanasema kuzaa n mapenzi ya mungu asa anataka mtoto usipopata itakuwaje? , Hata kama mtafunga ndoa bila mtoto hawezi ishi na ww .kumbe maisha n vile unataka ww

Kwakweli
 
Suala la kunihidumia mimi na kuhudumia Mtoto ni tofauti Mtoto anahitaji maziwa pampas kuna kuumwa tofauti na mimi mtu mzima ambae wazazi wangu wapo hai pia naweza kukabiliana na mazingira ya njaa Mtoto hawezi hilo
Sasa faida ya kuchakatana ni nini kama hautazaa nae?
 
Huyo jamaa inaoneka hataki kuoa anataka mtoto , ila kama jamaa ndo provider wa kila kitu hata ukipata mimba inaonesha hawezi kukuacha umlee mwenyewe, sasa wewe zubaa uskie jamaa kaoa aliyebeba mimba maana usidhani upo mwenyewe, kuna mtu huko ambaye atakua hata hampendi ila akishabeba mimba atamuoa wewe ukibaki kutumia njia za uzazi wa mpango

Hahahahaaha hizo nadharia ziliwaponza wengi ilaa
 
Unamtegemea, unampenda, kaahidi kuoa, kuzaa hutaki, ukichaa is real...

Wamuachie tu yule jamaa wa magunia mawili....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume mna maneno mazuri kabla hamjtia mtu mimba kumbuka hapa ni suala la Mtoto sio maharage ya mbeya
 
Unampa Mtoto Uji Analia Tu Unammenyea Yai Analia Tu
Unampa Kwenye Kikombe Anakitupa , Hapo Unamzabua Kofi Moja Uone Akavyobugia Uji Wote Haraka Haraka

Ndugu Zangu Zaeni Acheni Masuala Ya Kupanga Uzazi Hata India Na China Ziliendelea Kwa Idadi Ya Watu,

By Mzilankende

Hapo juuu umenichekeshaa
 
Back
Top Bottom