Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Nyie wa ndugu ni wazima.

Tuna mahusiano ya mwaka 1, mwezi kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae

Suala la ndoa anasema on process nikiwa tayari nina kibendi sababu ni kwamba naweza kumkimbiaa [emoji23][emoji23]

Mimi kwasasa sina kazi namtegemea yeye hilo suala la kuzaa kwasasa nimelipingaa lolote linaweza kutokea huko mbeleni

Ushaurii wenu ni njia salama za kujikinga na mimba. Na kwa waliowahi kutumia na hazija waathiri

NB: Mimi sijawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango so nataka nianze kutumia now

[emoji1787][emoji1][emoji1]
Unajua kwanini mnahofiana hivi, nikwasababu mlijenga mahusiano yenu kwamalengo ya kupata good time tu ila mnajua wenyewe yaliyotokea ukaishia kumtegemea 100% na jamaa naye akasema isiwe shida, nizalie mtoto maana hamkuanza na gia ya kujenga mahusiano yakuelekea kwenye ndoa hilo nauhakika. Sasa ulishapoteza mlengo wakujitetea jinsi ya kuikataa hiyo mimba maana kwaupande wako faida na mategemeo yako yote kutoka kwake unayapata, siunatunzwa 100% hivyo umemfanya kama mme ila kwajamaa hajakuamini bado maana kunapart ya mke kwako wewe hujaitimiza hivyo kukuamini hilo sahau. Kama mahusiano yangejengwa kwadhumuni kuu la ndoa baadae wala usingeshindwa kumwambia siwezi kwasasa na kama usingekuwa humtumii jamaa 100% wala usingeyumbishwa na hili ila mbaya zaidi ndio umemtumia vilivyo, unaona aibu au kosa kumkatalia akitakacho.
 
Hizi kauli tuwaachie mababu zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwauchumi huu, unajifanya mimi siogopi[emoji23][emoji23][emoji23] tuache ndoto zaalinacha. Mwanaume mwenzako kawekeza hapo, umeona alifikiria hata kumchezea mchezo ili tu asibebe mimba kabla ya ndoa unaona jinsi anavyomtegemea full, unafikiri kawekeza kidogo. Mwanaume hutakiwi kutumia hisia bali akili bali uwoga ni akili pia maana hukuepusha navingi sana. Mababu zetu kipindi hicho ndio walitumia nguvu hivyo hawakutakiwa kuogopa kwakuwa kuvipata nikwanguvu na kuvipoteza ni kwanguvu ila dunia ya sasa ni ya kutumia akili zaidi, utavipata kwa urahisi nautaweza kuvipoteza kwa urahisi.
Kutokuogopa ni akili sio nguvu.
We unadhani Leo hii kama sio ujasiri wa Mwanzilishi wa Jamiiforums kutoogopa changamoto yoyote ingekuwepo?
Mwanaume hupaswi kuogopa chochote, we ni kiongozi unaogopa nini?
Sikatai kuwa kawekeza ila kupitia maneno yake amejionyesha kuwa anaogopa kuachwa ndo maana mpenzi wake kampa 49%.
Usipokuwa jasiri, unapunguza point ya mwanamke kukuamini.
 
Sharti la soda lazima utest kama kweli ni soda au ni juice cola jamaaa yuko smart sana
 
We muache yaani mtu mpaka hapo anamtunza akafu analeta unuaji
Sidhani kama angekuwa binti yako ungemwambia anachezea bahati,hivi kuolewa imekuwa bahati?yaani as if sie tunawahitaji sana kuliko mnavyotuhitaji?
Wanaume mnajikuta special sana yaaani,
Wakati kucha kutwa hapa mnaleta vinyuzi mnalialia
 
Unachezea bahati yako utakuja kuzalishwa na mhuni na atajutia maisha yako kua singo maza.
Kubebeshwa mimba ndio bahati?angekuwa anamwambia tuanze taratibu za ndoa afu binti anakataa ungesema hivyo,sidhani kama binti yako utathubutu kumwambia maneno haya
 
Sidhani kama angekuwa binti yako ungemwambia anachezea bahati,hivi kuolewa imekuwa bahati?yaani as if sie tunawahitaji sana kuliko mnavyotuhitaji?
Wanaume mnajikuta special sana yaaani,
Wakati kucha kutwa hapa mnaleta vinyuzi mnalialia
Mwambie basi amtegemee baba yake ampe pesa za natumizi na aache mtegemea jamaa maana amesema jamaa ndio anamtunza
 
Mimi sitaki mtoto ili anioe nataka yeye awe tayari kuoa ndio tupate mtoto
Ni mitazamo lakini. Kuna jamaa yangu alimuoa mkewe baada ya mwanamke kumtegeshea siku za tarehe mbaya. Baada ya kushika mimba jamaa alifanya haraka sana ndoa ikafungwa kabla mimba haijawa kubwa.

Umesema ana uwezo na anakuhudumia, nakushauri beba mimba. Inawezekana umri wako bado unaruhusu kuchagua wanaume na kuwaringia ringia ukiweka misimamo yako. Ila kama huyo jamaa utamkatalia na yeye alitaka ajiridhishe na ukamilifu wako kwenye uzazi, siku akikata kamba unaweza mtafuta kwa tochi mwanaume mwingine wa kukuambia beba mimbi ili nikuoe na usimpate.

Siku hizi ninaona vijana wengi sana wanaoa mwanamke akiwa tayari ni mjamzito. Wadada wengi husema kama wewe kuwa hadi anioe ndio nibebe mimba. Ila kimsingi hakuna tofauti kuolewa ukiwa na mimba na ukiwa fresh. Wadada wengi hupenda kutoonekana na matumbo siku ya harusi. Kwa maana nyingine wanataka kujiachia siku hio. Ila kuna wadada nawaona wengi tu huolewa na mimba zao na ndoa huwa tam tu.

Sisi ni washauri tu. Maamuzi ni yako
 
Usikubali.Muombe kwanza mtaji was biashara ya kijinga 3M ufanye.Zaa ukipenda wewe.Au la Kama kweli anakupenda kwanza uvae gauni la harusi halafu uvae gauni la mimba.
 
usa
Mimi nataka njia salama za kujitumia kuepuka mimba
usagaji na ushoga mwanzo ni huu sasa sijui kama mama yako angeweka huo kujikinga na kupata mimba sijui ungezaliwaje... ujinga mwinginme wa hawa wanawake ni shida kwa hiyyo usipopata hiyo kazi utaendelea kuvua pichu tu.....
 
Yuko sahihi.
Ugumba umezidi Sana siku hizi.
Kuliko kuingia huko muanze kununiana ni Bora mjuane mapema tu.
Kama ni kila mtu kula kivyake basi ijulikane tu
 
Mwambie basi amtegemee baba yake ampe pesa za natumizi na aache mtegemea jamaa maana amesema jamaa ndio anamtunza
Kumtunza ni hiari au kujibebesha majukumu yasiyomuhusu,bado haihalalishi anachotaka kufanya
 
Usikubali.Muombe kwanza mtaji was biashara ya kijinga 3M ufanye.Zaa ukipenda wewe.Au la Kama kweli anakupenda kwanza uvae gauni la harusi halafu uvae gauni la mimba.
ushauri wa kindezi kweli....hiyo biashara isipoamka
 
Isipoamka ndo undezi.coz yeye ni tegemezi Hana chochote.Afanye biashara ili ambebee mimba bwanake,likitokea lolote atakuwa na uwezo was kulea .
 
Nyie wa ndugu ni wazima.

Tuna mahusiano ya mwaka 1, mwezi kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae

Suala la ndoa anasema on process nikiwa tayari nina kibendi sababu ni kwamba naweza kumkimbiaa [emoji23][emoji23]

Mimi kwasasa sina kazi namtegemea yeye hilo suala la kuzaa kwasasa nimelipingaa lolote linaweza kutokea huko mbeleni

Ushaurii wenu ni njia salama za kujikinga na mimba. Na kwa waliowahi kutumia na hazija waathiri

NB: Mimi sijawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango so nataka nianze kutumia now

[emoji1787][emoji1][emoji1]
Kwan yule MCHAGA wako alie kinanilii akakublock yupo wap?
 
Back
Top Bottom