Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Unajua kwanini mnahofiana hivi, nikwasababu mlijenga mahusiano yenu kwamalengo ya kupata good time tu ila mnajua wenyewe yaliyotokea ukaishia kumtegemea 100% na jamaa naye akasema isiwe shida, nizalie mtoto maana hamkuanza na gia ya kujenga mahusiano yakuelekea kwenye ndoa hilo nauhakika. Sasa ulishapoteza mlengo wakujitetea jinsi ya kuikataa hiyo mimba maana kwaupande wako faida na mategemeo yako yote kutoka kwake unayapata, siunatunzwa 100% hivyo umemfanya kama mme ila kwajamaa hajakuamini bado maana kunapart ya mke kwako wewe hujaitimiza hivyo kukuamini hilo sahau. Kama mahusiano yangejengwa kwadhumuni kuu la ndoa baadae wala usingeshindwa kumwambia siwezi kwasasa na kama usingekuwa humtumii jamaa 100% wala usingeyumbishwa na hili ila mbaya zaidi ndio umemtumia vilivyo, unaona aibu au kosa kumkatalia akitakacho.Nyie wa ndugu ni wazima.
Tuna mahusiano ya mwaka 1, mwezi kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae
Suala la ndoa anasema on process nikiwa tayari nina kibendi sababu ni kwamba naweza kumkimbiaa [emoji23][emoji23]
Mimi kwasasa sina kazi namtegemea yeye hilo suala la kuzaa kwasasa nimelipingaa lolote linaweza kutokea huko mbeleni
Ushaurii wenu ni njia salama za kujikinga na mimba. Na kwa waliowahi kutumia na hazija waathiri
NB: Mimi sijawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango so nataka nianze kutumia now
[emoji1787][emoji1][emoji1]