Huyu ndie kiumbe anayefaidi mapenzi Duniani wengine wote mbwembwe tu.

Wangekuwa watu mngesema uchawi, kumbe ni jambo la kawaida tu kunatiana.
 
Kunatiana sio ndio kuenjoy mapenzi,unajuaje nao kawa wamewekewa tego na mbwa wenziwe????wako kuhangaika kujinasua ni vile hawajui lakufanya,....

Halafu nyani ndio anafaidi mapenzi.
 
Tena wanyama wanachofanya ni kwaajili ya kutafuta watoto tu mating
 
Kakakuona ndo noma zaidi!! Hawa viumbe Mungu kawapendelea sana kwenye hii idara ya mgegedo!!......!!
.....Nakuja na picha
 
Mkuu usinikumbushe hao wanyama, wanaparamia mizinga ile mbaya na kupora asali yote
haaaa haaaa haaaa hao nyegere hawarini asali bali wanaikomesha. Hatari Sana hao wanyama
 
Wanakula nini?
 
Ina maana Leo Nazi yako kutwa mzima ulikuwa unawaangalia hao mbwa tu au nawe watamani ya mbwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…