Huyu ndie kiumbe anayefaidi mapenzi Duniani wengine wote mbwembwe tu.

Huyu ndie kiumbe anayefaidi mapenzi Duniani wengine wote mbwembwe tu.

Hapo vip!!

Leo katika pita pita zangu nikawakuta watu wanashangaa mbwa wawili walionatiana tokea asubuhi mpaka jioni.

Duh!!nikagindua Katika wanyama wote anayefaidi penzi sana ni mbwa,wengine wote mbwembwe tu mapenzi tumuachie mbwa.

Hivi kuna mnyama mwingine anayemzidi mbwa kwa kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

Nzi, yeye ni kila dakika na wanawake zaidi ya mia kwa siku.....nani anaweza haya bila kujiua?
 
Sokwe ndiye mnyama anayesikia utamu wa mapenzi kuliko mnyama yeyote yule hasa sokwe jike. Sokwe jike akifanya ngono utamu wake anausikilizia kwa masaa 5-6, na baada ya hapo anaweza asiwe na hamu tena ya kufanya mapenzi kwa miezi mingine 6. Baada ya kufanya ngono hutafuta sehemu iliyotulia autafakari utamu huo kwa hayo masaa
Mkuu, tafadhali utaulizwa maswali utashindwa kuyajibu![emoji3]
 
hawa hapa
86fd6958a2f140408f3ddf98655094c5.jpg
24d4b0517c4362fbfd202a2b18896d07.jpg
 
Mnyama mwingine ni simba, wao huamua kujitenga wawili kwa muda wa siku kama tano hivi, kwa siku tatu za mwanzo dume hula mzigo kila baada ya dakika 15, so mara nne kila saa kwa siku tatu za mwanzo baada ya siku ya tatu intavali hupungua. Kwa kipindi chote hicho wanajitenga na Pride na pia hawawindi
Huitwa harusi ya simba
 
Kunatiana sio ndio kuenjoy mapenzi,unajuaje nao kawa wamewekewa tego na mbwa wenziwe????wako kuhangaika kujinasua ni vile hawajui lakufanya,....

Halafu nyani ndio anafaidi mapenzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti ...tego...
 
Mbwa ni simple tu hata masuala ya chura[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
hawana habari nayo [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sokwe ndiye mnyama anayesikia utamu wa mapenzi kuliko mnyama yeyote yule hasa sokwe jike. Sokwe jike akifanya ngono utamu wake anausikilizia kwa masaa 5-6, na baada ya hapo anaweza asiwe na hamu tena ya kufanya mapenzi kwa miezi mingine 6. Baada ya kufanya ngono hutafuta sehemu iliyotulia autafakari utamu huo kwa hayo masaa

Umejuaje au we ni sokwe??
 
Kwenye kichwa cha habari kina neno "mapenzi", lakin post ni about sex(tena animal sex).

Kuna tofauti kubwa kati ya mapenz na sex.
wanyama kama mbwa wanafanya sex,na hayo si mapenzi.

Wanadamu tuna mapenzi, mtu kumpenda mwenzie,kwa wanadamu sex iko ndani ya mapenzi. mwanadam si kama hao mbwa uliowasifia.
Sex = tendo la ndoa(kwa waliiowa au kuolewa) , ngono(kwa ambao bado hawajaoa,au kuolewa). Thats what i mean.
Wewe umeweka neno mapenz kwenye ngono. mbwa wanafanya ngono.
 
Kufaidi ni kuridhika na hali ama tendo,kuridhika yaweza kutokea kwa muda mrefu ama mfupi hivyo mbwa kung'ang'aniana masaa yote hayo haimaanishi ndio wanaofaidi zaidi kuliko viumbe wengine.
 
Kunatiana sio ndio kuenjoy mapenzi,unajuaje nao kawa wamewekewa tego na mbwa wenziwe????wako kuhangaika kujinasua ni vile hawajui lakufanya,....

Halafu nyani ndio anafaidi mapenzi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuachiana mpaka apige goli 12, mbwa anapiga bao nyingi kweli kweli
Ndio maana mbwa dume wakizeeka viuno vinakazaaaaa kukaaa chini mpaka aazungukeee weee akishtue ndo awahi akae kuamka napo ni shughuli
 
Sokwe ndiye mnyama anayesikia utamu wa mapenzi kuliko mnyama yeyote yule hasa sokwe jike. Sokwe jike akifanya ngono utamu wake anausikilizia kwa masaa 5-6, na baada ya hapo anaweza asiwe na hamu tena ya kufanya mapenzi kwa miezi mingine 6. Baada ya kufanya ngono hutafuta sehemu iliyotulia autafakari utamu huo kwa hayo masaa
[emoji23] [emoji23] dah! Mungu si angetupa japo na sisi hako ka uwezo?
 
Kila Mtu kwa upande wake Ndio kiumbe kinachosikia raha sana ya mapenzi Duniani,MAANA ni wewe Mwenyewe Ndio unayeusikia
 
Back
Top Bottom