Huyu ndie kiumbe anayefaidi mapenzi Duniani wengine wote mbwembwe tu.

Huyu ndie kiumbe anayefaidi mapenzi Duniani wengine wote mbwembwe tu.

Hapo vip!!

Leo katika pita pita zangu nikawakuta watu wanashangaa mbwa wawili walionatiana tokea asubuhi mpaka jioni.

Duh!!nikagindua Katika wanyama wote anayefaidi penzi sana ni mbwa,wengine wote mbwembwe tu mapenzi tumuachie mbwa.

Hivi kuna mnyama mwingine anayemzidi mbwa kwa kufanya mapenzi kwa muda mrefu?
Mende
 
[emoji1][emoji23] mtoa mada unazingua yaani mm nawaza na kuumiza kichwa kutafuta engineer uingereza aje kunijengea ghorofa la thamani ya bilioni 2 halafu wewe unawaza kuhusu mbwa kufanya mapenzi....
mcheki mwenzio Dr Shika.......
 
Kuachiana mpaka apige goli 12, mbwa anapiga bao nyingi kweli kweli
Manii ya mbwa yanatoka kama matone kidogo kodogo na ndio maana akifanikiwa kuingiza dushe kuna kinundu kinafunga dushe haiwezi kutoka mpaka lile bao litoke liishe ndio inalegea inatoka na sio kwamba anapiga mabao mengi
 
Back
Top Bottom