Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hakuwahi kutumia wala usibishe hata mahojiano yake hapa dar alishasema ndio maana alikua anasauti flan hiv ambayo hata madem unaowajua wanajua kuikba waliishindwa kuiigaSimchukii na hatujawahi kuishi pamoja,
Lakini suala la kutotumia kilevi silihafiki
Ha habha ha Bob alikua genius ndugu,,aliona vingi ambavyo wengine hawakuviona,,alisema mengi ambayo wengine hawakuweza kuthubutu kusema,,aliamin vingi ambavyo wengine hawakua na kipawa hicho,,, lucky dube ni legend bt bob alikua zaid ya NabiiDube!
" I asked the policeman and Said How Much Must I pay for my freedom. ?
He said to me,Son
They won't build no schools any more
They won't build no hospitals
All they'll build will be prison."-Prisoner.
IF you stand for the truth you will always stand Alone.--Luck Dube
Mimi Ukinipa Dube na Bob Bado kura yangu ipo kwa Dube
R I PAliitwa Lucky Philip dube, jina la lucky alipewa jina Hilo na mama yake baada ya mimba zake nyingi kuharibika. Alianza Muziki tangi akiwa mdogo
Mwanamuziki wa reggae nchini Afrika kusini kuwahi kuuza mauzo makubwa ya Album zake "Album yake ya Prisoner Ni Album bora zaidi kuwahi kuuzwa miaka ya 1980/90.
Ameigiza movie kama vile "GETTING LUCKY", LUCKY STRIKES na VOICE IN THE DARK. Mkewe aliitwa zenele na alizaa nae watoto Saba
Kanuni za maisha yake Ni kama ifuatavyo, Hakuwahi kuvuta Bangi maisha yake yote,
Wala bangi wala kilevi chochote katika maisha yake yote na alifanya hivo ili aweze kuwa Baba bora kwa watoto wake na vijana kwa jumla. Alipinga Sana ubaguzi wa rangi vita na uhalifu wowote.
Aliuliwa huko Johannesburg katika kitongoji cha Rosettenville jion ya tarehe 18/10/2007, na wauji katika tukio Hilo walifungwa maisha.
Baba wa taifa Hilo Nelson Mandela Ni mmoja wa watu maarufu waliohudhuria mazishi yake.
View attachment 481578 View attachment 481579
Unataka nikupe mfano hai au nikupotezee?Hakuwahi kutumia wala usibishe hata mahojiano yake hapa dar alishasema ndio maana alikua anasauti flan hiv ambayo hata madem unaowajua wanajua kuikba waliishindwa kuiiga
Toa Mfano kwa manufaa ya wengi Mkuu,Unataka nikupe mfano hai au nikupotezee?
Hahaha huo ulikuwa ni mtazamo wangu.Ha habha ha Bob alikua genius ndugu,,aliona vingi ambavyo wengine hawakuviona,,alisema mengi ambayo wengine hawakuweza kuthubutu kusema,,aliamin vingi ambavyo wengine hawakua na kipawa hicho,,, lucky dube ni legend bt bob alikua zaid ya Nabii
Sawa sawa nduguHahaha huo ulikuwa ni mtazamo wangu.
Labda kwa sabubu nilianza kuzisikiliza nyimbo za Dube na k uzipenda sana kabla ya Bob.
Nakumbuka album ya Prisoner Sister Ndio alinunua Mwaka 99'.
Amini, ukweli ndio huo, ujue mtu maarafu kama lucky hawezi danganya kuwa hatumii kileo wala sigara ama bangi kama kweli anatumia, ukiwa maarufu mambo yako yote yanakuwa publicly. kwa hiyo watu wangi wanamuhukumu dube kwa muonekano tu, kwa kuwa kafuga rasta na ana macho mekundu basi wanajua mtumiaji.Simchukii na hatujawahi kuishi pamoja,
Lakini suala la kutotumia kilevi silihafiki
Dont forget Is not easy,,,na trinityalikuwa sauti nzuri sana yenye hisia akiimba mpaka unasikia raha, ule wimbo wake Fugitive, Love me the way I am nk
Pamoja Ndugu!Sawa sawa ndugu
Na hii ilisambaa kweli kwamba Jamaa alikufa .Senzo aliugua cerebral malaria na kupoteza sauti kwa miaka miwili watu wakazusha amekufa. Yupo hai and expect his new album very soon brothers and sisters.
Hapana moto wa reggae ni ngumu sana kuzimika,,,wasikilize hawa jamaaPamoja Ndugu!
Nyakati hizi naona Reggae music imepoa aisee
Alivyokuja Tanzania aliwahi kuhojiwa na mtangazaji wa kike wa CTN kuhusu kutumia kilevi na kwa nini alikua hajaoa kwa kipindi kile.Alimjibu mtangazaji kuwa havuti wala hatumii kilevi chochote.Kuhusu kuoa alisema anatamani amuoe mtanzania hasa hasa yeye mwenyewe mtangazaji maana alimvutia sana (mtangazaji alikua na rasta fupi),mtangazaji alicheka saaaanaHakuwahi kutumia wala usibishe hata mahojiano yake hapa dar alishasema ndio maana alikua anasauti flan hiv ambayo hata madem unaowajua wanajua kuikba waliishindwa kuiiga