Huyu ndie lucky Philip dube

Huyu ndie lucky Philip dube

Lucky Dube ni Moja ya binadumu niliyepata kuzipenda nyimbo zake,Na album ya Prisoner nadhani kwangu ndio album bora ikiwa na vibao vizuri na vikali vilivyo sheheni Elimu tosha na burudani.
1.Prisoner
2.War and Crime.
3.Dracula.
4.Reggae Strong.

5.Remember Me.
6.Jah Live.
7.False prophets.
8.Don't Cry.

Huwa sichoki kusikiliza album hii.
 
Simchukii na hatujawahi kuishi pamoja,
Lakini suala la kutotumia kilevi silihafiki
Hakuwahi kutumia wala usibishe hata mahojiano yake hapa dar alishasema ndio maana alikua anasauti flan hiv ambayo hata madem unaowajua wanajua kuikba waliishindwa kuiiga
 
Dube!
" I asked the policeman and Said How Much Must I pay for my freedom. ?
He said to me,Son
They won't build no schools any more
They won't build no hospitals
All they'll build will be prison."-Prisoner.

IF you stand for the truth you will always stand Alone.--Luck Dube

Mimi Ukinipa Dube na Bob Bado kura yangu ipo kwa Dube
 
Ha habha ha Bob alikua genius ndugu,,aliona vingi ambavyo wengine hawakuviona,,alisema mengi ambayo wengine hawakuweza kuthubutu kusema,,aliamin vingi ambavyo wengine hawakua na kipawa hicho,,, lucky dube ni legend bt bob alikua zaid ya Nabii
 
Aliitwa Lucky Philip dube, jina la lucky alipewa jina Hilo na mama yake baada ya mimba zake nyingi kuharibika. Alianza Muziki tangi akiwa mdogo

Mwanamuziki wa reggae nchini Afrika kusini kuwahi kuuza mauzo makubwa ya Album zake "Album yake ya Prisoner Ni Album bora zaidi kuwahi kuuzwa miaka ya 1980/90.

Ameigiza movie kama vile "GETTING LUCKY", LUCKY STRIKES na VOICE IN THE DARK. Mkewe aliitwa zenele na alizaa nae watoto Saba
Kanuni za maisha yake Ni kama ifuatavyo, Hakuwahi kuvuta Bangi maisha yake yote,

Wala bangi wala kilevi chochote katika maisha yake yote na alifanya hivo ili aweze kuwa Baba bora kwa watoto wake na vijana kwa jumla. Alipinga Sana ubaguzi wa rangi vita na uhalifu wowote.

Aliuliwa huko Johannesburg katika kitongoji cha Rosettenville jion ya tarehe 18/10/2007, na wauji katika tukio Hilo walifungwa maisha.
Baba wa taifa Hilo Nelson Mandela Ni mmoja wa watu maarufu waliohudhuria mazishi yake.

View attachment 481578 View attachment 481579
R I P
 
Hakuwahi kutumia wala usibishe hata mahojiano yake hapa dar alishasema ndio maana alikua anasauti flan hiv ambayo hata madem unaowajua wanajua kuikba waliishindwa kuiiga
Unataka nikupe mfano hai au nikupotezee?
 
Ha habha ha Bob alikua genius ndugu,,aliona vingi ambavyo wengine hawakuviona,,alisema mengi ambayo wengine hawakuweza kuthubutu kusema,,aliamin vingi ambavyo wengine hawakua na kipawa hicho,,, lucky dube ni legend bt bob alikua zaid ya Nabii
Hahaha huo ulikuwa ni mtazamo wangu.
Labda kwa sabubu nilianza kuzisikiliza nyimbo za Dube na k uzipenda sana kabla ya Bob.
Nakumbuka album ya Prisoner Sister Ndio alinunua Mwaka 99'.
 
Hahaha huo ulikuwa ni mtazamo wangu.
Labda kwa sabubu nilianza kuzisikiliza nyimbo za Dube na k uzipenda sana kabla ya Bob.
Nakumbuka album ya Prisoner Sister Ndio alinunua Mwaka 99'.
Sawa sawa ndugu
 
alikuwa sauti nzuri sana yenye hisia akiimba mpaka unasikia raha, ule wimbo wake Fugitive, Love me the way I am nk
 
Simchukii na hatujawahi kuishi pamoja,
Lakini suala la kutotumia kilevi silihafiki
Amini, ukweli ndio huo, ujue mtu maarafu kama lucky hawezi danganya kuwa hatumii kileo wala sigara ama bangi kama kweli anatumia, ukiwa maarufu mambo yako yote yanakuwa publicly. kwa hiyo watu wangi wanamuhukumu dube kwa muonekano tu, kwa kuwa kafuga rasta na ana macho mekundu basi wanajua mtumiaji.
 
Senzo aliugua cerebral malaria na kupoteza sauti kwa miaka miwili watu wakazusha amekufa. Yupo hai and expect his new album very soon brothers and sisters.
Na hii ilisambaa kweli kwamba Jamaa alikufa .
Naamini Mpaka sasa bado watu wanaamini kashakufa.
 
Pamoja Ndugu!
Nyakati hizi naona Reggae music imepoa aisee
Hapana moto wa reggae ni ngumu sana kuzimika,,,wasikilize hawa jamaa

Beres Hammond
Linton Kwes Johnson
Matabaruka-- naona mpoto kamuiga huyu kutembea peku peku [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Glen Washington
Morgan Herritage
Luciano
Lee Scratch Perry(mwalim wa bob marley hyu japo nyimbo zake za long sn
Israel Vibration
Syren Hall
Calture
 
Hakuwahi kutumia wala usibishe hata mahojiano yake hapa dar alishasema ndio maana alikua anasauti flan hiv ambayo hata madem unaowajua wanajua kuikba waliishindwa kuiiga
Alivyokuja Tanzania aliwahi kuhojiwa na mtangazaji wa kike wa CTN kuhusu kutumia kilevi na kwa nini alikua hajaoa kwa kipindi kile.Alimjibu mtangazaji kuwa havuti wala hatumii kilevi chochote.Kuhusu kuoa alisema anatamani amuoe mtanzania hasa hasa yeye mwenyewe mtangazaji maana alimvutia sana (mtangazaji alikua na rasta fupi),mtangazaji alicheka saaaana
 
Back
Top Bottom